Hivi Nyerere aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki au Protestanti?

Hivi Nyerere aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki au Protestanti?

Inawezekana ukawa hujui, sababu ya wamisionari kuwa "agents of colonialism".
Kabla ya ukoloni baadhi ya maeneo ya Afrika yalikuwa ni stateless society (hakuna nchi).

Ili uhubiri neno la MUNGU linalopingana na mtazamo wa Imani iliyopo ni lazima uwe na ulinzi( Vyombo vya Dola).

Ili upate vyombo vya dola lazima ushawishi ukoloni uje kutawala( hii ni nia njema).

Kwasababu, kwa ujio huo wa ukoloni maisha ya watu yatalindwa(Je, kulindwa kwa maisha ya watu Kuna ubaya gani?).

Pia ubepari hutoa misaada kutokana na mikakati na malengo Yao( Mfano: umeme wa REA, dawa za kufubaza makali ya VVU, nk).
NB
Ukoloni ulikuwa na faida zake licha ya hasara zilizojitokeza( Mfano: Uanzishwaji wa nchi zilizopo Africa, elimu ya kikoloni, Uanzishwaji wa miundo mbinu ya kikoloni, madaktari, wahandisi,nk).
 
Hizo propaganda ndio zinawafanya mchapwe fimbo ili msamehewe dhambi, mfunge hadi mfe

Mzungu bepari akusanye fedha aje akujengee wewe shule

hadi umri huu bado hujui kuwa kina nani ni moja ya Mawakala wa wakoloni ? Agent of colonialism ?

inamaana hujui kuwa dini ilikuwa kilainishi ( KY) ya kuingiza ( kupenyeza )Ukoloni Barani Africa?
Kwahiyo kumbe DINI ni kilainishi cha kuleta ukoloni Africa? Nasubiri jibu wallah.
 
Siku Moja padri wa kikatoliki alimuuliza, NAMI nifanye hizi kazi za kijamaa? Akajibu, kwa hiyo kazi yako ni kuondolea watu dhambi tu? Hizo dhambi ni nyingi kiasi gani? Alimaanisha maungamo ni fix.
 
Wakuu kwema
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (Tanzania Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa

Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na Kanisa Katoliki au Waprotestanti hata kama haukuwa mkubwa kama ule wa Waislamu

Tunafahamu Magufuli aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki na Lutheran kufuatia makanisa hayo kutoa nyaraka za kulaani watu kutekwa, na pia kuhusu alivyoshughulikia ugonjwa wa Covid

Mohamed Said
Huyu mzee sijui anaimwa nn?, wewe utatuachie nn sisi wajikuu zako?,ni huu ujinga ulionao labda?
 
Mpu
Kama asingekuwa intellectual asingeaminiwa kupewa madaraka ya URAISI.Na wahuni walipojaribu kumpindua alirudishwa madarakani na wataalamu wa uongozi wa siasa( Uingereza).
KIFUPI: Nyerere alikuwa na sifa za kuwa RAIS na wengine hawakuwa nazo.
Mbavu? Mdini na juha yule 🐗
 
Wakuu kwema
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa

Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na Kanisa Katoliki au Waprotestanti hata kama haukuwa mkubwa kama ule wa Waislamu

Tunafahamu Magufuli aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki na Lutheran kufuatia makanisa hayo kutoa nyaraka za kulaani watu kutekwa, na pia kuhusu alivyoshughulikia ugonjwa wa Covid

Mohamed Said

Nchi inaangamia kwa kukosa watu walio na maarifa na fikra dhabiti. Nchi imejaa rushwa, ufisadi, wizi, hongo na uongozi ulio na watawala wabovu. Nchi haina clear vision, umasikini umetamalaki, mfumuko wa bei, biashala kusuasua, ukosefu wa ajira, matumizi mabovu ya fursa na rasilimali, hivyo vyote hujaviona?. Unakuja na hoja mbovu za migogoro ya mwaka 1970 huko?. Unaanzisha mada za EAMWS ambazo hata taarifa zake huna bali kwa kusoma kwene site za mitandao tena zikilikuza jambo Kana kwamba ni kubwa. Zilitaifishwa hospitali na mamia ya shule za taasisi za Dini ya kikristo pamoja na mamia ya mali kama mashamba na viwanja je hayo hujayaona? EAMWS ilikua na nini cha Ziada? Haikufikia hata 5% ya mali za waprotestant achilia mbali Roman Catholic. Jumuiya mbovu iliyokuwa inafadhiriwa na yule mturuki agakhan ndio iwe mjadala. Stupid. Ashukuliwe baba wa taifa Mwalimu Julius kambarage Nyerere kwa kujenga jamii iliyo na Amani, Umoja na Mshikamano.
 
Wote wanaompinga Nyerere ni waislam?Julius kuna makosa mengi aliyafanya kipindi cha utawala wake ndio yanayotugharimu mpaka leo

Makosa gani hayo aliyafanya ndio yatugharimu mpaka leo?. Zimepita awamu 3 zilizo na miaka 10,10,10 akaja mmoja miaka 6 sasa yupo mwingine. Mzee kan’gatuka toka miaka ya 80 huko. Mkuu kama ulishindwa kujijenga kiuchumi huo ni ujinga wako wenzio kibao wamekuwa matajiri.
 
Nyerere alitaifisha mali za Kanisa kibao, mashule, hospitali n.k
Ili kuhalalisha waislam kutokua na shule,maana wangechujwa na necta na hivyo kuwatafuta kwa tochi sekondari na elimu ya juu,hapo hawatokua na sifa ya kushika vitengo nyeti,Kisha tutaujenga mfumo kristo katika serikali na kanisa litapanuka
 
Waislam kibao wamesoma kwene shule za kanisa na mpaka sasa wanaendelea kusomeshwa. Kama baba yako na mama yako hawakusoma hio ni juu yao na umasikini wao na familia zao za waiza kahawa na kashata au kama hukusoma wenzio walisoma. Hakuna sababu za kutafuta mchawi mpaka sasa jamii ya wavaa kobazi kielimu bado ipo chini.
 
Makosa gani hayo aliyafanya ndio yatugharimu mpaka leo?. Zimepita awamu 3 zilizo na miaka 10,10,10 akaja mmoja miaka 6 sasa yupo mwingine. Mzee kan’gatuka toka miaka ya 80 huko. Mkuu kama ulishindwa kujijenga kiuchumi huo ni ujinga wako wenzio kibao wamekuwa matajiri.
Katuachia katiba mbovu,vita ya Uganda ilitugharimu pesa nyingi,
 
Back
Top Bottom