Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Intellectual mjinga na mpuuzi kama yule?Nyerere alikuwa intellectual.
Kuwa na adabu kwa baba wa TaifaIntellectual mjinga na mpuuzi kama yule?
Kama asingekuwa intellectual asingeaminiwa kupewa madaraka ya URAISI.Intellectual mjinga na mpuuzi kama yule?
Mchungaji Mackenzie wa Kenya katokea madrasa gani ?Kafir......
Wazazi tujitahidi kuwapeleka shule watoto wetu . Kusisititia tu elimu ya madrasa kutatupeleka pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Rasilimali za kujenga hizo shule hazikutokana na michango ya kanisani, zilitokana na rasilimali za NchiWavaa kobazi bhna si uyo alie taifisha shule za roman hili na nyie mpate kusoma kidogo muondokane na kuvaa kobazi
MUNGU ni Muweza wa yote Kwahiyo Hana sababu ya kujaza rundo la Kuni ili apate moto.Kabisa namuombea mungu aendelee kumfanya kuni za motoni!kafiri mkubwa yule
Shule za kanisa hazikujengwa kwa Kodi za wananchi bali ni Kodi na michango ya wazungu wa wakati huo.Rasilimali za kujenga hizo shule hazikutokana na michango ya kanisani, zilitokana na rasilimali za Nchi
au unadhani walichukua kodi Vatican kuja kujenga huku ?
Alitaifisha mali za kanisa kibao ikiwemo.mashule.na hospitali ili zitumiwe na watu wote na nado serikali ikashindwa kuziendelezaWakuu kwema
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (Tanzania Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa
Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na Kanisa Katoliki au Waprotestanti hata kama haukuwa mkubwa kama ule wa Waislamu
Tunafahamu Magufuli aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki na Lutheran kufuatia makanisa hayo kutoa nyaraka za kulaani watu kutekwa, na pia kuhusu alivyoshughulikia ugonjwa wa Covid
Mohamed Said
Hizo propaganda ndio zinawafanya mchapwe fimbo ili msamehewe dhambi, mfunge hadi mfeShule za kanisa hazikujengwa kwa Kodi za wananchi bali ni Kodi na michango ya wazungu wa wakati huo.
Kama angekuwa mdini basi asingezitaifisha haijalishi zimejengwa kwa pesa ya kodi au ya vatican angeziacha zibaki mikononi mwa kanisa lakini hakufanya hivyo. Wakristo wengi wanaamimi Israel ni taofa teule ila yeye alikuwa anaunga mkono wapalestina hadi kufikia kuwatimua waisrael bila kujali walikuwa wanajenga hall 2 pale udsm na misaada yao ya kijeshi waliokuwa wanaipatia TZ.Rasilimali za kujenga hizo shule hazikutokana na michango ya kanisani, zilitokana na rasilimali za Nchi
au unadhani walichukua kodi Vatican kuja kujenga huku ?
Kwanza tueleze huo mgogoro na waislam hao ulihusu nini kabla hujauliza kama palikuwepo na mgogoro na dini nyingine.Wakuu kwema
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (Tanzania Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa
Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na Kanisa Katoliki au Waprotestanti hata kama haukuwa mkubwa kama ule wa Waislamu
Tunafahamu Magufuli aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki na Lutheran kufuatia makanisa hayo kutoa nyaraka za kulaani watu kutekwa, na pia kuhusu alivyoshughulikia ugonjwa wa Covid
Mohamed Said
Kama hujui kuhusu huo mgogoro, huu uzi utakuwa haukuhusu.Kwanza tueleze huo mgogoro na waislam hao ulihusu nini kabla hujauliza kama palikuwepo na mgogoro na dini nyingine.
Unapoleta mada kama hizi za migogoro, halafu huelezi chochote inaonyesha kwamba tayari unazo sababu zako za kuleta mada za kichokonozi.
Kuwa wazi watu wajue kwa nini unataka mada kama hii ijadiliwe hapa. Inafaida fulani na agenda yako?
Hapana.Uzi umegeuka ghafla