Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Lile ninja aiseee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani jana nimelala mbavu zinauma
Mi napenda watu km wale, alafu mara nyingi hawana unafki wala kona kona..!!!
Jana kuna kitu kaongea, nikikumbuka nacheka balaa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka kwanza....

Kabla ya kujua ni nini....Nimeshajiongeza...

Madam Mada zake nazijuaga[emoji1]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka kwanza....

Kabla ya kujua ni nini....Nimeshajiongeza...

Madam Mada zake nazijuaga[emoji1]
Aiseee!! Nimecheka sana
Kuna style ya kufunga nonino kiunoni khaaa!!!
Nyie kwaresima nitapooza nicheke vya mwisho mwisho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ungekua interested na huyo jamaa wala usingemuona msumbufu kilichopo ni kuwa hata salamu yake unaichukulia ni kero.
Binafsi nimeamua kuwa mkax huwa na sense haraka mtu akinichukulia kama vile sina maana au ni msumbufu hasa wanawake, nikikutext mara tatu nikaona negative response baada ya hapo huwa najiweka mbali hutaona meseji yangu tena.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΏ
 
Aiseee!! Nimecheka sana
Kuna style ya kufunga nonino kiunoni khaaa!!!
Nyie kwaresima nitapooza nicheke vya mwisho mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mimi Madame B simtaki.....

Ana Uzi wake mmoja huo....Sichoki kuusoma kila ninapotaka kucheka..
 
Nishavijua bwana...viko viwili hivi🀣🀣🀣
Au sio🀣🀣
Dada kumbe kwaresima inadondekea siku moja na valentine?? 🀣🀣🀣
Sa itakuwaje? Tutazini na majivu usoni?? πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Sawa sawa hapa umeongea kitu kizuri ..karibu Jackies upate thoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…