Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye Nyuzi zake....Kanitag na mie nicheke [emoji23][emoji23][emoji23]
Wako humu hao "baadhi ya wanaume"?Kwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?
Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,
Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?
Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Unabaki unamshangaa..!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KE afadhali kidogo...
Mwanaume sasa....Hadi unajiuliza umetokana naye wapi...
Hahahahaha sijasema hivyo...hapa bana miaka yote pako hivi hivi tushapazoea🤣🤣🤣Kwa hiyo SIMPENDI eeh?na huyo Jack akakope CRDB apape muonekano mpya hapo aaagh
Huyo unamwambia story; huku babaako kakamatwa ugoni, wanatafuta duka wakanunue baby care 😂😂😂Bora umesema maana ni kero au ile nipe story
🤣🤣🤣🤣 Hebu niache kwanzaHuo uyatima umeutaka 😁😁😁
Yaaap hii ndio mwanaume rijali anatakiwa kuandika...Stori zitaanzia hapo kwenye kijumbe Sasa!Joannah mambo vp! Hope uko powa......baadae ukipata mda naomba nichukulie hela yangu kwa kijumbe jioni ntaipitia kwako maana ntachelewa kutoka site.
Ngoja nile nishibe kwanza ili nikavunjike mbavu vizuri 🤣🤣🤣Nenda kwenye Nyuzi zake....
Kuna Uzi ameandika niulize swali lolote....
Huo Uzi hapana jamani[emoji1787]
Hapo kwa kijumbe ndo point ilipo 😂😂😂Yaaap hii ndio mwanaume rijali anatakiwa kuandika...Stori zitaanzia hapo kwenye kijumbe Sasa!
Nitakujibu..
Poa mpaji,zamu yako kupokea lini tukale mihogo coco?
Convo hapo tayari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shenzi wewe.Unabaki unamshangaa..!!
Kuna mmoja nilikuwa nachat utasema ana kithethe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niabie mdima?
Nikamjibu; Naoba peza
Ilibidi acheke mwenyewe
Alijua akibadili maneno sitomuomba pesa 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shenzi wewe.
Hahahahahaha mie wakuja mjini nina X mass chache sana 😅 😆Halafu kijiwe chenu sana watoto wa mjini...kumbe wewe wa towntown