Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Yaani hicho kitabu kikitengenezwa na mimi nitakinunua. Yaani wanaume wengi watakinunua. Tena kikiwa kimeandikwa na mwanamke ndio kitaaminika mno. Yaani kuna utajiri wa mabilioni ya hela umejificha kwenye kitabu cha kifundisha mtu jinsi ya kuchat na msichana 🤣
Mwanaume ambaye anajielewa hawezi kufundishwa namna ya kuwasiliana na mwanamke maybe .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wale wanaofupisha maneno...

Mtu halafu anaandika afu....Jamani[emoji706]
🤣🤣🤣🤣Sasa hao wa "afu"ndio special edition kabisaaa ni genge la Shaban wa Zamaradi.....Kuna mkaka mzuri tulibaxilishana namba nilikuwa na lengo zuri la kuwasiliana nae,,kosa la kiufundi ni Ile meseji yake ya pili baada ya salamu nikamlamba block
 
Kabisaa,, mwanaume anayejielewa akikuangalia tu anajua akuanzie wapi
🤣🤣
Ndio maana mnateswa na mapenzi. "Mwanaume anayejielewa akikuangalia tu anajua akuanzie wapi". Mwanaume wa aina hiyo ni mwanaume mzoefu na wasichana. Huo ujuzi hauwezi kuupata ukiwa na CV ya wasichana wachache mtu mwenye uwezo wa kumpanga msichana CV yake ni kuanzia wasichana 20+ na kuendelea.

Ukiona mtu mwenye maisha yake, kazi yake ila hajui kuchat au kumpanga msichana hapo kuna mawili ama ni domo zege au CV ndogo.


Ndio maaana mnaangukia kwa vijana wa hovyo wenye CV kubwa 🤣🤣.
 
Hao ni washamba sana..salamu ni moja tu Mambo!..Txt ya pili unanyooka kwenye mada hata kama unasaundisha elekeza mada moja kwa Moja huo ndo Uanaume kila siku tunasema kwenye vikao ila hamtekelezi...Mwalimu wangu mmoja wa Physics alikua akisahihisha anaandika "Hit the point,stop politics" Acha d siasa nyoosha maelezo wewe Baharia
 
Nimempenda buree aisee!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi watu wenye ma vibe km Madame B ndio nawapenda, sio hawa wanaojifanya jukwaani walokole pm ni mabadest [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madame B yule habari nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Miaka ya nyuma ndiyo tulikuwa tunamfaidi sana....Alikuwa active kuliko sasa hivi.

Na mambo yake akiandika yuko serious huyo[emoji1787]
 
Back
Top Bottom