Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Ndo mana hujaolewNaview tu halafu natulia kimya, hua sina cha kujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mana hujaolewNaview tu halafu natulia kimya, hua sina cha kujibu
kUmbe wewe huwa unajibu?
Kwa mtu yoyote huwa nataka msg direct
Tofauti na hapo huwa sijibu...
NImejaza unread msg za wajinga kisa salamu zisizoisha...
Wengi sana mbonaMaybe Kuna wavulana above 30s
Hahaha 😃😃.. Labda kweliNdo mana hujaolew
Hahahahaha..sie wa cuba huwa tunajua tunaanzaje na tunamaliziaje🤣🤣🤣🤣🤣Sasa si uulize uko wapi baby,,?njoo sehemu Fulani...
HahahahahahaIla wanaume mbususu zitawatoa roho 🤣🤣🤣
Watu wanaotext aina hizo za txt wengi hawana kazi za kufanya hasa muda wa mchana wapo wapo tu kwa Shemeji.Yani me sipendi mtu wa kunitext kila mda, sijui umekula, unafanya nini, uko na nani khaa... Me nitakupigia mara moja asubuhi na usiku kabla ya kulala na kama kuna dharura. Siku nyingine naassume tu umeamka salama napita hivi kimyakimya
Na mifugo yao inaendeleaje.?? 😂😂😂Hapo lazima nitiririke, nitauliza hadi ukoo wao mzima wanaendeleaje😂😂😂
😂😂😂🔩Kwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?
Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,
Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?
Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Kwema?

Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jaman
Huyo humpendi ila unataka ela tu kwa mtu unayempenda hata akuulze ktu gan utamjibu fresh tu yan no makasirikoKwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?
Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,
Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?
Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Akili ndogo inataka kuzungumzia mambo makubwa 🤣🤣🤣Changamoto ni fursa na utajiri.
Wewe kama binti kwanini usikae ukaandika kitabu kinachohusu jinsi ya kuchat na msichana. Unauza kitabu kimoja hata elfu 20 mpaka laki. Huoni fursa ya hela hapo.
Sasa bila muamala nipoteze nguvu ya kujibu msg ili nigundue nini?? [emoji23]
Madame ana kitu kashajipata aisee 😂😂😂Eeeeh sawa,Mimi nitampenda tu kama familia yangu.😂😂😂
Wenyewe ndo wanaita kucare... Ni huo naitaga usumbufuWatu wanaotext aina hizo za txt wengi hawana kazi za kufanya hasa muda wa mchana wapo wapo tu kwa Shemeji.
Mtu aliyebusy na mitikas ya mjini hapa hana huo muda wa kuuliza umekula? Umekunya? Unafanya nini?.
Mie mwenyew napenda huo utaratib ukinichek asubuh tukutane saa nne muda wa kulala, unakula gd9t kavu kesho asubuh unasalimiwa kama bado upo hai unapumua.. maisha yanasonga.