Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Niambie mamaa!
 
Hiyo inatokana na kutojuana sana na mtu sasa inakuwa ngumu ku"Initiate" conversation unasubiri yeye aanze ili upate start up..

Maana mda hup unakuwa hujui Ni mtu wa namna gani,Kama ana hasira au nikisema hivi atanionaje..
Wakati huo mwanaume anakuwa tayri kashapanga meseji za kuandika na possibility ya majibu anayo kichwani shida anaona shida kuandika alichohisi akiandika hatapata majibu mazuri
 
Sasa Kuna wenzenu ndio wapo hiyo era ndio maana nimeleta kero hapa....nakufurahia kama ulishatoka hiyo era
 
Mbona Kuna vi swali simple sana vya kuanza navyo?yaani wanaume hawajui ni rahisi sana kumpoteza mwanamke Kwa kutegemea yeye ndio akwambie....we mwambie,mwambie,mwambieeee tu especially siku za kwanza mwambie akikuzoea atakuambia
 
That's pure maturity, hakuna haja ya kutuma meseji juu ya meseji ambayo haijajibiwa.
Noma sana kaka, kuna mtu alishawahi kuniambia haoni umuhimu wangu zaidi ya kuchati tu na mimi eti na mchekesha yaani alinifanya mi ni komediani wake na sina umuhimu mwingine hanitafuti hadi nianze mimi yaani kilichofata
Nilimkaushia maana nilijua sina umuhimu wowote baada ya mwezi mmoja alinitafuta mwenyewe na safari hii alirudi na adabu na akanipa heshima yangu mizani ime balance nikianza kumtafuta leo mimi kesho ni zamu yake
 
We nae ulikasirika Nini?kuongea kitu mwanamke akafurahi ni dalili anakupenda sana.... mwanaume usiyempenda hata akipumua anakukera sembuse kuongea🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…