Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Andika wosia mapema...
Kaka unanitishia??
Yani nimekuhifadhia million 10, kutoa elfu 20 ya safari na 30k ya kulipia luku pesa zako zikae kwenye usalama unataka kuniua??
Sasa nawaambia TRA unauza biashara za magendo na nawapigia polisi waje wakukamate unamiliki silaha kinyume cha sheria..!! Na unalima bhangi msata..!! 😂😂😂
 
Wadada wa chuga njooni Depal 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cc Depal, Lenie mbadilike🤣😄
 
Hizi tabia zimejaa huko fb
Mtu anakusalimia unajua Ana jipya anaishia kuuliza eti pande zipi kama karani wa sensa
 
Halafu Kuna wale wa namba mpya unaona salamu na namba mpya unauliza nani wewe eti huna namba yangu?
 
Nipo hp bff kwani Kuna habari gani hapaaa
Ww soma heading acha uvivu bff
Yule jamaa ako aliyekuwa anakwambia “niambie” vipi hataki kwenda straight km anaomba nyapu eti hakuboi??
 
Ww soma heading acha uvivu bff
Yule jamaa ako aliyekuwa anakwambia “niambie” vipi hataki kwenda straight km anaomba nyapu eti hakuboi??
Ananiboa kichizi
Tena wengine ni new number hujui ni nani
Unaona tu mtu kakutumia ka sms eti nambie
Utafkiri umemuita
 
Ukiona anakwambia "Niambie" ujue huyo mfuko upo vizuri. Maana wanaume wengi tushaijua ile kauli ya "babe nikwambie kitu?".. ukiomba mwenyewe kuambiwa ujue umeyakanyaga.
 
Niambie
 
Ananiboa kichizi
Tena wengine ni new number hujui ni nani
Unaona tu mtu kakutumia ka sms eti nambie
Utafkiri umemuita
🤣🤣🤣 Mwambie namba hiyo hiyo uliotumia kunipigia, itumie pesa ss hivi niko busy kwanza
 
🤣🤣🤣 Mwambie namba hiyo hiyo uliotumia kunipigia, itumie pesa ss hivi niko busy kwanza
🤣🤣🤣🤣 kwakweli...yaani umri huu kweli nianze kuwaza hii namba ya nani??
Labda iwe imetuma pesa
 
Sikukasirika matendo yake yalinifanya tu nijihisi sina umuhimu nikajiweka nafasi ya wasio na umuhimu na nikaacha kuwa msumbufu

Nilimkaushia ila naona bahati nzuri alikuja kubadilika akaanza yeye kunitafuta
Anakupenda,sema alikuwa Hajui namna ya communication
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…