Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mgeni ndio kafika hana hata lisaa alafu sio mroma ila ni mromantic 😂Mbebe mje wote kanisani 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgeni ndio kafika hana hata lisaa alafu sio mroma ila ni mromantic 😂Mbebe mje wote kanisani 🤣🤣
Kaka unanitishia??Andika wosia mapema...
Wadada wa chuga njooni Depal 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbukusha mademu wa Arusha, huwezi hata kuchat nae atakukata stimu tu
Mtu unamuanza
You: mambo vipi salma
Yeye: mzuka Arif nigani
Dah unaona namna Gani hapa ila unajikaza unaendelea
You: salma nimekumis ujue
Yeye: acha basi kunifunga mota jombi
Unaona isiwe kesi unamblock
Cc Depal, Lenie mbadilike🤣😄Umenikumbukusha mademu wa Arusha, huwezi hata kuchat nae atakukata stimu tu
Mtu unamuanza
You: mambo vipi salma
Yeye: mzuka Arif nigani
Dah unaona namna Gani hapa ila unajikaza unaendelea
You: salma nimekumis ujue
Yeye: acha basi kunifunga mota jombi
Unaona isiwe kesi unamblock
🤣🤣🤣🤣 km mromantic basi majivu yako nakubebea kula mbususu, tukutane ijumaa kuuMgeni ndio kafika hana hata lisaa alafu sio mroma ila ni mromantic 😂
Ww soma heading acha uvivu bffNipo hp bff kwani Kuna habari gani hapaaa
Ananiboa kichiziWw soma heading acha uvivu bff
Yule jamaa ako aliyekuwa anakwambia “niambie” vipi hataki kwenda straight km anaomba nyapu eti hakuboi??
Wanajidai walokole kumbe wanoko😂Roho imeniuma mimi 🤣🤣🤣
Watu wa jf wana nongwa sana.!!
Wenzao tulishapata pa kupumzikia baada ya miangaiko, wenyewe hao chap wameufunga
NiambieKwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?
Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,
Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?
Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
🤣🤣🤣 Mwambie namba hiyo hiyo uliotumia kunipigia, itumie pesa ss hivi niko busy kwanzaAnaniboa kichizi
Tena wengine ni new number hujui ni nani
Unaona tu mtu kakutumia ka sms eti nambie
Utafkiri umemuita
Wanoko vibaya, wameusoma kwanza wameburudika ndo wakaufunga 🤣🤣🤣Wanajidai walokole kumbe wanoko😂
🤣🤣🤣🤣 kwakweli...yaani umri huu kweli nianze kuwaza hii namba ya nani??🤣🤣🤣 Mwambie namba hiyo hiyo uliotumia kunipigia, itumie pesa ss hivi niko busy kwanza
Namwambia usijitambulishe jina, nitaliona kwenye muamala jina lako..!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwakweli...yaani umri huu kweli nianze kuwaza hii namba ya nani??
Labda iwe imetuma pesa
Anakupenda,sema alikuwa Hajui namna ya communicationSikukasirika matendo yake yalinifanya tu nijihisi sina umuhimu nikajiweka nafasi ya wasio na umuhimu na nikaacha kuwa msumbufu
Nilimkaushia ila naona bahati nzuri alikuja kubadilika akaanza yeye kunitafuta