Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

🤣
Baby mbona hutuiti kwenye hizi mada
Nimecheka
Wale wa "Niambie" nishapata jibu lenu......
 
Akili ndogo inataka kuzungumzia mambo makubwa 🤣🤣🤣
Yaani hicho kitabu kikitengenezwa na mimi nitakinunua. Yaani wanaume wengi watakinunua. Tena kikiwa kimeandikwa na mwanamke ndio kitaaminika mno. Yaani kuna utajiri wa mabilioni ya hela umejificha kwenye kitabu cha kifundisha mtu jinsi ya kuchat na msichana 🤣
 
Mimi ni mvivu wa kusoma sms hapa nilipo nina sms 99+sijazifungua ,ukishindwa kupiga simu ni bora ukatulia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…