CreatureKH
Member
- May 14, 2021
- 42
- 89
Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂 km Nina vitu vya week bc sitoki ndani iyo week yote
Sina rafiki biashara zangu nazikagua mwisho wa mwezi hadi mwisho wa mwezi vijana wangu naenda nao sawa km marafki zangu
Kuliko nikapige story nje na wanawake wenzangu bora nijifirisi kwa kunnua bundle na kuingia movie box
Ila ni muongeaji vibaya sana ni mrahisi kuzoea au kuzoeleka
Yan kwa kifupi mimi sipendii tena sipendi interaction na watu ila inapotokea nainteract nao bc nakua mchesh mzuri tu
Mimi ni nani?
A. Mvivu
B. Introvert
C. Extrovert
D. Inextrovert
😂