Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

wasichokijua wengi nikuwa;
~introvert kuna melancholic na phlegmatic.
~extrovert kuna sanguine na choleric
izingatiwe kuwa ni nadra sana kukuta mtu ni pure introvert au extrovert na utawatambua kuwa ni pure kwa kuwa wanakuwa na utofauti usiokuwa wa kawaida mfano ukienda ugenini utakutana na mtu wengine watakwambia mchawi,mkaksi n.k,lakini ukweli unabakia kuwa wengi wetu tunakopa tabia kutoka makundi yote mawili mfano unakuta mtu ni chole melancholic,chole phlegmatic n.k
 
Mimi siku nikiwa nataka kupata mbususu ya mwanamke huwa nakuwa introvert, akivua tu chupi bao la kwanza nishakuwa extro-intro mixer
 
Boss vipi mahakama ishakazia hukumu yako na ex-wife,?🤔
Nimeingia leo Dar na nili attend mahakaman leo na ex-yf nimeonana nae pia. Hakuna jipya sana ila nitatulia kurudisha mrejesho kama nilivyo ahidi mkuu. Niko kwenye harakat nirud kupumzika maana nimesafiri usiku kucha and now am so tired, nilale kidogo kisha niandike machache
 
Sawa boss ila usimrudie au unaonaje
 
Unajijua… Mfano tabia za kutokupenda kugongewa mlango, Ugeni, Mazoea ya hovyohovyo na kuona wengine kama waswahili kujiona kama wazazi walikosea sana kukuzaa changanyikeni, Unakuwa mtu fulani usiependa ushabiki na makelele ya simba na yanga, pia kujiona genius hata Kama hauna kichwani kweupe😁😁😁

Hizo ni dalili za kutosha kukueleza kuwa wewe ni introvert
 
Kuna Aina nyingi za personality sio tu introvert na extrovert, kutokana na The Big Five personality zipo tano kwa kifupi zinaitwa ( OCEAN )
Ambazo ni
1 Openness to Experience:
‎hii inahusu mtu ambaye anakuwa imaginative, curious, na open to new experiences and ideas.
‎
‎Conscientiousness
‎hii inahusisha tabia ya kuwa organize, responsibility, na goal-directedness.
‎
‎Extraversion/Introversion
‎hii ni tabia ya mtu kuwa sociability, assertiveness, na tabia ya kutafuta social interaction
‎
‎Agreeableness
‎hii inahusisha level ya mtu kuwa empathy, kindness, na cooperation na watu wengine
‎
‎Neuroticism:
‎hii inahusisha mtu kuwa na tendecy experience negative emotions such as anxiety, sadness, and anger.

Nenda kasome vizuri kuhusu hizo Big Five utaelewa vizuri
 
Barikiwa boss
 
Back
Top Bottom