Mzungu wa madawa
Senior Member
- Aug 16, 2024
- 120
- 282
Mimi sipo popote kati ya into na extro
Sawa mkuu🙏🙏🙏Nenda Google usome
Introvert = Quietness
Ukishajiona unaongea Sana na unaongea mambo ambayo sio logic basi wewe sio introvert
Wewe utakuwa Extrovert Ila umeathiriwa naazingira ya ubinafsi ambayo yamekupelekea kuwa antisocial
Hutaki mchumba wa kukuchangamsha😁🪓Za kichwa zitakuhusu🤣
Kila mtu ana asilimia za roho mbaya ila we kiongozi asilimia zako zinaonekana zipo chiniKumekuchaaaaa 😂 mwanakwetu ad roho mbaya
Kwaiyo niongeze E. Roho mbaya!!?🤣
We ngoja aje afie ndani alafu wamgundue baada ya wiki😂😂Hutaki mchumba wa kukuchangamsha😁
Unashida gani lkn 😂We ngoja aje afie ndani alafu wamgundue baada ya wiki😂😂
Kimbia PM hapa anaona aibu😁😁We ngoja aje afie ndani alafu wamgundue baada ya wiki😂😂
Ngoja nimpatie ka wimbo flani hivi , huyu anaonekana ni mboga saba 😍Kimbia PM hapa anaona aibu😁😁
Ngoja nimpatie ka wimbo flani hivi , huyu anaonekana ni mboga saba 😍
CreatureKH
View: https://youtube.com/shorts/cHxARjym0Ik?si=cUTQM8Qzt_oR3ugT
😍😍😂😂😂😂Hao ndiyo wazuri hawaombi hela za kusuka, komaa naye hadi umpate😁😁
Cjakuelewa hataa🤦🏽♀️Ukijikuna alafu poumbu alafu ukanusa wewe ni introvert,
Extrovert ni mtu, asiyeweza kubana mpenyo, mama huruma au baba huruma
Eeeh!😁😁😍😍😂😂😂😂
Kwenye izo personality nakua naingia ingia sijawa specific😅 by the way kwan zina maana si bc tu internet zinatubadilishia mambo miaka hiiKuna aina nying za personality
Sio hizo tu
Intorvent
Extrovert
Type A
Type B
Na nyingine unachoangalia ni tabiazako then unasoma zipo kwenye kundigani
Mimi nimesoma darasani ni topic kabisa atitude na personalityKwenye izo personality nakua naingia ingia sijawa specific😅 by the way kwan zina maana si bc tu internet zinatubadilishia mambo miaka hii
Kila kitu ad tugoogle imekuaje cjui