Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?


Utakuja kudata mkuu
 
Movies, series, novel, mpira, swimming,
Zipo kibao la muhimu ni kujenga hobby na kati ya hivo vitu.
Mfano yafuta series nzuri uanze kuifuatilia. . . utajikuta unasahau hata kifanya vitu vingine. . .

Ukifanikiwa niambie. Ili niweze kuepuka hizo mbinu. Nsije na mi nkaangukia huko nikaacha bia
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Haya ni matatizo kwakuwa unapata "dependency syndromes'
Starehe ni kukaa na familia ukiwa free
 
Mtoa mada nataka ujue kwamba pombe, sigara na uzinzi sio starehe.
 
Hobbie ziko nyingi. Kama mm situmii kilevi chochote. Na nacheza sana mpira.
 
Ni walevi wabaya sana hao wasiotumia vileo vyetu hivi
Ukimkuta kwenye papuchi ni hatari Kabisa
 
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
It seems you are to idle, kama uko bize anasa za nini. Ukichoka pumzika, angalia TV hudhuria ibada, au jisomee vitabu uongeze maarifa. Matajiri hawana starehe, kila muda kwa una thamani, panga ratiba zako vizuri uone kama huo muda wa anasa utapatikans.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…