[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu uko vizurMovies, series, novel, mpira, swimming,
Zipo kibao la muhimu ni kujenga hobby na kati ya hivo vitu.
Mfano yafuta series nzuri uanze kuifuatilia. . . utajikuta unasahau hata kifanya vitu vingine. . .
Ukifanikiwa niambie. Ili niweze kuepuka hizo mbinu. Nsije na mi nkaangukia huko nikaacha bia
AiseeBinafsi sina starehe zaidi ya kugegeda,kiukweli napenda sana hili tendo.bora hata nisile ila nigegede mtoto wa mtu..kugegeda ni raha jamani acheni.unahisi upo paradiso.kwa wiki nagegeda mala nne au tano.uongo mbaya sijawai kukaa wiki mbili na siwezi bila kugegeda,I love pwuuuusy
PapucheeBinafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Kuliko niache pombe nije kucheza huu mchezo mchafuBinafsi sina starehe zaidi ya kugegeda,kiukweli napenda sana hili tendo.bora hata nisile ila nigegede mtoto wa mtu..kugegeda ni raha jamani acheni.unahisi upo paradiso.kwa wiki nagegeda mala nne au tano.uongo mbaya sijawai kukaa wiki mbili na siwezi bila kugegeda,I love pwuuuusy
Utakuta unaongea haya yooote kumbe ka balimi kadogo kapo pembeni yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pombe haina faida yeyote katika maisha Ndugu,
Kabidh maisha yako kwa Mungu na utaona maisha mazur kwako, nilikua mnywaj kama wewe,hakuna zaid ya kua mtumwa wa pombe kwa miaka 6, Nimeacha pombe mwaka Jana dec, sasa Naona maisha mapya kwangu, sdhoofik mwil tena, siamki na hangover tena, Mshahara naonaa vizur sasa na unanitosha vizur sasa nafanya maendeleo vizur,napata muda mzur wa kufurah na familia na Ndugu,
Binafsi nimehamishia starehe kwenye Baltika,Fresh Juice,ice creams, na hata ikitokea nimeenda outing sina tamaa na pombe nitaagza Baltika zangu tuu na Maji, Natuma mda wa ziiiada kuchat na video games
Umenena mkuu.Yafanye maji ya kunywa kua starehe yako hakika hutojutia