Hivi nyie msiokunywa pombe au aina yoyote ya kilevi starehe yenu ni ipi!?

Aliekuambia kunywa pombe ni starehe ni nani? Kama biashara imedoda umekosea jinsi ya kuitangaza, andaa tangazo kwa njia nyengine
 
Hapa sawa Mkuu
 
mimi binafsi starehe yangu urembo.
nikienda hivi mfano club ikitokea bahati mbaya, naweza kutaka kuzimia maana ile hewa ya mule ni pombe za kila aina.
nikikaa na mtu wa karibu labda anakunywa akiongea kichwa kinaniuma chote. yaniii[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Hunaakili kwahiyo unadhani pombe ndio starehee wenzako tunakula ngada
 
Starehe ni pale mambo yanavyo enda kama nilivyopanga
 
Aisee kurud home kucheza na ma kids wngu,,weeeeh wapo wawili wananichangia mpira,bas nawaachia wanifunge huko home kuna kua na furaha hatar,,yaan hakuna nachopenda kama hicho,,siku nikiumwa kuna kua na ukimya kama hakuishi watu vile bt yte kwa yte raha najipa mwenyewe
 
true that that lakin kumbuka kila kitu ukizidisha ni mbaya kwako, ukizidisha Gaming at the end of the day u will still be leaving at ur Mamas house playing fifa or God of war...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…