Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kabisa babyJifunze kuacha kutafuta huruma kwa watu....
Stone town hapa nipo free muda wote๐Uko wapi nikupitie,.
Am such a whole vibe hutaboeka๐ป๐คธ
Ila binadam ni hatari sana sijui chuki hiyo iliyojificha huwa inatokaga wapi.Na haipo kabisa, tukuhurumie ili iweje sasa jamani...tunafurahi tukiteseka wote ๐๐๐
Ni uchawi ambao upo umejificha ndani ya watu tunaowaamini....Heeey!๐๐
Huu si uchawi huu๐ง
Duhh.. story of ma life!๐Good morning,.
Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie๐ฅบ,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja.....
Kila siku atakupigia simu kujua unaendelea ,.Pole zinakua nyingi mnoo na kuulizia Jambo lako limefikia wapi,. Utasikia "Ee Mungu wangu tunafanyaje maskini " .. Atakwambia usijali Jambo litakaa sawa ni suala na mda Tu kuwa na Subira..
Haya sawa baada ya mamiezi kupita umetokea umeovercome Ile challenge,. And your so excited kumwambia Yule MTU ambae uliona mlikua mnahuzunika pamoja walau mcelebrate au mumshukuru Mungu Kwa pamoja,. .. Heeeey!๐,. Kwanza reaction Yake inabadilika badala ya furaha anakua na huzuni,. Anakupa hongera hiyo ambayo unakaa unajiuliza hivi huyu Yuko sawa kweli?,.
Haishii hapo,. Anakuzunguka Kwa watu wengine wanakaa kukujadili hivi imewezekanaje?,. Hili haliwezekani sio yeye itakua kuna mtu nyuma!. And yes MTU amekuvusha,..Anaona haitoshi anamtafuta Hadi aliyekusaidia kutaka kujua kwanini amekusaidia na mmepeana nini in return,. Yaani hataki kukubali kiurahisi kama ni kweli umevuka Ile changamoto..
Asa nmekaa nimejiuliza,. Ina maana yeye furaha yake ilikuwa kuniona nateseka au,. Kuniona nalia kila siku anavyonipa pole yeye ndio anajiskia furaha?,. Yaani yeye anafurahi kunipa pole na sio kunipa hongera au kunipongeza tufurahike pamoja tumeovercome tatizo,.
Nina wasiwasi hata tulivyokua tunasali, tutafunga na kuomba nlikuwa nasali mwenywe huyu mnafki hatukua tutafunga wote kama alivyokua alinambia,.
Wanadamu nimewanyoshea Miguu,. Maana mikono imeshachoka kuandika
Usijari limeisha hiloo. ๐ปNjoo tuanze na mbuzi chanta,. Halafu tukamalizie vyombo La chalz Kwa watoto wazuri tusafishe macho๐คธ๐ป
Huhitaji marafiki, pekeyako wajitosheleza mom๐ถ๐ถ
๐๐๐๐๐Duhh.. story of ma life!๐
Yani ni kama umenisema jmn isitoshe ni mwanamke na ana nafasi ya uchungaji kanisani, nilifanyiwa maombi na nabii kuhusu kazi akanionesha ambayo nitapata, na kweli ikatimia si nikamrudia huyu dada(pastor) nikamuelezea huku nalia kwa furaha, kwani week iliisha๐ tuliishia kugombana vitu havina mbele wala nyuma na kutukanana eti na pastor nyiee๐คฃ๐
Basi ndo saiz ananipita kama mshumaa wa pasaka mchungaji huyu hatusalimiani kanisani hebu imagine inavyoumiza, kugundua ndio zake hapendi kbs mtu apige hatua au amzidi yani ana wivu wa ajabu mpk kanisani mtu akija kachoka akaanza kufanikiwa anajinunisha mchungaji huyu! Eeh Mungu tusaidie๐๐๐ฝ
Ninachokijuwa, watu wengi ni wanafiki. Yani swala la huruma, linakuja na unafiki mwingi sanaHaya sawa,.
Basi hata kufurahia kwamba nimevuka baada ya kunihirumia Kwa mda mrefu?
I had one,. Ni wakiume wa toka utotoniNashukuru kwangu binafsi nina rafiki wa ukweli, au sijui kwa kuwa toka utotoni tuna match.
Tena nahisi mie ndo naweza kuwa tatizo kidogo kwake, ila sio yeye kwangu.
Uzuri tuna hulka zinazofanana, ko tuna winja winja tyuuh.
Naunga mkono hojaAkifurahi ndio inakuaje sasa? Yani we umevuka ye anafaidika nini?๐๐๐
We bana jifunze kusimama kwa miguu yako miwili baaas!!! Ikitokea unahisi unahitaji kushirikisha mtu jambo lako iwe ni kujipunguzia tu stress ndani yako na sio KUHURUMIWA
Pia ni kawaida saaana watu kutokupenda good news za mtu labda kama haujawahi kujua.
Ndio maana ni vema sana na utafanikiwa kama una jambo zuri wataka kulifanya kaa nalo kimyaa usishirikishe mtu nikisema MTU namaanisha yeyote, ukishirikisha tu usha attract negativity jambo linaharibika.
Eti nae ni mchungaji,.Duhh.. story of ma life!๐
Yani ni kama umenisema jmn isitoshe ni mwanamke na ana nafasi ya uchungaji kanisani, nilifanyiwa maombi na nabii kuhusu kazi akanionesha ambayo nitapata, na kweli ikatimia si nikamrudia huyu dada(pastor) nikamuelezea huku nalia kwa furaha, kwani week iliisha๐ tuliishia kugombana vitu havina mbele wala nyuma na kutukanana eti na pastor nyiee๐คฃ๐
Basi ndo saiz ananipita kama mshumaa wa pasaka mchungaji huyu hatusalimiani kanisani hebu imagine inavyoumiza, kugundua ndio zake hapendi kbs mtu apige hatua au amzidi yani ana wivu wa ajabu mpk kanisani mtu akija kachoka akaanza kufanikiwa anajinunisha mchungaji huyu! Eeh Mungu tusaidie๐๐๐ฝ