Tena naona bora muwe marafiki wa jinsia tofauti, hii itakua realistic, kuliko jinsia 1 ni unafiki, uongo etc.I had one,. Ni wakiume wa toka utotoni
Unluckily nilimweka kando kwasabu ya mpenzi wangu alikuwa hapendi ukaribu wetu.. He's very real and dedicated
Ndio maisha kwahiyo icho unachokiona sasa sio mwisho wake, kipo na kitaendelea kuwepo na kadri miaka inavyozidi kusogea ndio kinaongezeka zaidi na zaidi kwa ukubwa wa mibaraka utakayokuwa umejaaliwa na Mwenyezi Mungu.This one📍📍
Wivu Tu na insecurities zake,.Tena naona bora muwe marafiki wa jinsia tofauti, hii itakua realistic, kuliko jinsia 1 ni unafiki, uongo etc.
Mpenzi wako nae hakuamini au? Lol
Inatokea pale tu kukiwa na jambo zuri, la mafanikio la kuleta furahaIla binadam ni hatari sana sijui chuki hiyo iliyojificha huwa inatokaga wapi.
Kwakweli,.Ndio maisha kwahiyo icho unachokiona sasa sio mwisho wake, kipo na kitaendelea kuwepo na kadri miaka inavyozidi kusogea ndio kinaongezeka zaidi na zaidi kwa ukubwa wa mibaraka utakayokuwa umejaaliwa na Mwenyezi Mungu.
NB: Ukiwa na familia inabidi ulielewe sana hili ili kuilinda familia yako.
Wewe acha tu! Na akamtafuta rafkiangu wa karibu kamjaza maneno rafiki kaninunia wee miezi mi3 Mungu si athumani juzi kajileta kazini kwangu na jana nilikuwa naye hana ata cha kueleza! Kwaio tunaendelea tulipoishia😆Dada mchungaji alihakikisha kila mtu anitenge! Ndo kwanza sina muda🤣 yeye aendelee tu kunipita kama nyanya mbichi🤭Eti nae ni mchungaji,.
Hakika ya ulimwengu ni mengi🥺🧐
Ni hatari mno kuna watu/ndugu mama yangu alikuwa anadhani ni wema sana kwake, ilimchukua mda sana kulitambua hilo ila kuna siku aliyaamini yale wanae tuliyokuwa tunamwambia anaodhani wapo nae pamoja sio, na ndio wanaozidisha makali kwenye mapito.Inatokea pale tu kukiwa na jambo zuri, la mafanikio la kuleta furaha
Usiwape watu nafasi hiyo, be you and God. Masuala ya familia huwa hayapaswi kuwa wazi sana kwa tunaowaita marafiki.Kwakweli,.
Tena masuala ya familia au mahusiano mnaweza kuharibu Mambo kwasabu ya watu
Hii kitu nami niliikataa.. sitaki kuhurumiwa tena.. mwanadamu ni yule yuleJifunze kuacha kutafuta huruma kwa watu....
Na rafiki yako bado unamchukulia kwa uzito ule ule?Wewe acha tu! Na akamtafuta rafkiangu wa karibu kamjaza maneno rafiki kaninunia wee miezi mi3 Mungu si athumani juzi kajileta kazini kwangu na jana nilikuwa naye hana ata cha kueleza! Kwaio tunaendelea tulipoishia😆Dada mchungaji alihakikisha kila mtu anitenge! Ndo kwanza sina muda🤣 yeye aendelee tu kunipita kama nyanya mbichi🤭
Wala pia sisi urafiki wetu si story na company tu maana hanaga watu wa kupiga nao story kanizoea mimi tuna kama miaka mi3, isitoshe yule dada alimfaham kupitia mimi maana nilienda nae kanisani kama mara 2, uyo dada kamjaza maneno ya uongo rafkiangu lazima ajisikie vby, mambo ya kuumiza sana ata kama ni wewe aiseeNa rafiki yako bado unamchukulia kwa uzito ule ule?
Yeah , wamatumbi wengi ndivyo tulivyo nikuwapuuzia tu , ukiwabeba hao viazi, utaja pata magonjwa ya moyo , ufe kadogo.Dah! Eti wamatumbi😂
KimekulambaBinadamu asilimia kubwa huwa wanapata burudani kwenye matatizo ya watu. Akifahamu tu fulani ana tatizo basi stress zake zote kwishaaa
Kwani pastor ndo nani? Fanya nitumie namba yake ni mtongoze, itakuwa hajakazwa siku Mingi.Duhh.. story of ma life![emoji28]
Yani ni kama umenisema jmn isitoshe ni mwanamke na ana nafasi ya uchungaji kanisani, nilifanyiwa maombi na nabii kuhusu kazi akanionesha ambayo nitapata, na kweli ikatimia si nikamrudia huyu dada(pastor) nikamuelezea huku nalia kwa furaha, kwani week iliisha[emoji28] tuliishia kugombana vitu havina mbele wala nyuma na kutukanana eti na pastor nyiee[emoji1787][emoji174]
Basi ndo saiz ananipita kama mshumaa wa pasaka mchungaji huyu hatusalimiani kanisani hebu imagine inavyoumiza, kugundua ndio zake hapendi kbs mtu apige hatua au amzidi yani ana wivu wa ajabu mpk kanisani mtu akija kachoka akaanza kufanikiwa anajinunisha mchungaji huyu! Eeh Mungu tusaidie[emoji29][emoji1431]
Mimi ni mr i don't care hata unichafue vipi sijali as long najua sio uhalisia wangu na sio kweli hata hainipi shida.Wala pia sisi urafiki wetu si story na company tu maana hanaga watu wa kupiga nao story kanizoea mimi tuna kama miaka mi3, isitoshe yule dada alimfaham kupitia mimi maana nilienda nae kanisani kama mara 2, uyo dada kamjaza maneno ya uongo rafkiangu lazima ajisikie vby, mambo ya kuumiza sana ata kama ni wewe aisee