Nitakutumia mkuu!Kwani pastor ndo nani? Fanya nitumie namba yake ni mtongoze, itakuwa hajakazwa siku Mingi.
Ndio uko sahihi ila kwa ladies sio rahisi sana na inategemea na mahusiano ya watu hao, halafu issue ya ku-cutt off watu nilikuwa nayo aisee kuna muda unabaki mwenyew.. nilikuwa na kaujeuri hako! Inafika mahali u need people too sio makwazo kdg u leave, nikazoea saiz tunaishi nao tu! Utaachana na wangapi? Ulimwengu huu watu waaminifu wachache mno..! Ukisema uchunguze huwezi kumpata ni kama ndoa tuπMimi ni mr i don't care hata unichafue vipi sijali as long najua sio uhalisia wangu na sio kweli hata hainipi shida.
Napuuzia na life linaendelea.
Mtu akibaki au akitoka kwenye mzunguko wa maisha yangu huwa naona kawaida, ndio maisha. Rafiki akishakaa upande wa adui kwa namna yeyote ila huyo sio wa kumuamini japo ukaribu unaweza kuwepo.
Dawa ya wamatumbi viherehere , vaa pendeza , kula vizuri , fuata mambo yako usiwazingatie , usiwalalamikie shida , hata ugonjwa , kuwa positive mda wote , utayaona yanavyo hangaika kama kuku anavyotafuta pahala pa kutagia.Nikishajua kitu ni tatizo huwa siwezi kumwambia mtu ndivyo nilivyokua, japo sasa ninaye wa kumwambia na huwa haniangushi.
Kwa nini apuuzwe?Mtoa mada apuuzwe
unaujua ule wimbo wa nyota ndogo? kuna watu na viatuGood morning,.
Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidieπ₯Ί,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja.....
Kila siku atakupigia simu kujua unaendelea ,.Pole zinakua nyingi mnoo na kuulizia Jambo lako limefikia wapi,. Utasikia "Ee Mungu wangu tunafanyaje maskini " .. Atakwambia usijali Jambo litakaa sawa ni suala na mda Tu kuwa na Subira..
Haya sawa baada ya mamiezi kupita umetokea umeovercome Ile challenge,. And your so excited kumwambia Yule MTU ambae uliona mlikua mnahuzunika pamoja walau mcelebrate au mumshukuru Mungu Kwa pamoja,. .. Heeeey!π,. Kwanza reaction Yake inabadilika badala ya furaha anakua na huzuni,. Anakupa hongera hiyo ambayo unakaa unajiuliza hivi huyu Yuko sawa kweli?,.
Haishii hapo,. Anakuzunguka Kwa watu wengine wanakaa kukujadili hivi imewezekanaje?,. Hili haliwezekani sio yeye itakua kuna mtu nyuma!. And yes MTU amekuvusha,..Anaona haitoshi anamtafuta Hadi aliyekusaidia kutaka kujua kwanini amekusaidia na mmepeana nini in return,. Yaani hataki kukubali kiurahisi kama ni kweli umevuka Ile changamoto..
Asa nmekaa nimejiuliza,. Ina maana yeye furaha yake ilikuwa kuniona nateseka au,. Kuniona nalia kila siku anavyonipa pole yeye ndio anajiskia furaha?,. Yaani yeye anafurahi kunipa pole na sio kunipa hongera au kunipongeza tufurahike pamoja tumeovercome tatizo,.
Nina wasiwasi hata tulivyokua tunasali, tutafunga na kuomba nlikuwa nasali mwenywe huyu mnafki hatukua tutafunga wote kama alivyokua akinambia,.
Wanadamu nimewanyoshea Miguu,. Maana mikono imeshachoka kuandika
Aache kujipendekeza kwa watu, aishi kivyakeKwa nini apuuzwe?
Wanatumia dini kama "cover up". Ni watu wenye roho mbaya sana.Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.
Katika watu usipende kuwaamini ni watu wanaojionyesha wema sana, watu wa dini.
Mungu mfuate wewe kama wewe, ukiwa peke yako, masuala ya kumfuata Mungu kwa kikosi uyaache.
Watu wanaojionesha kumpenda sana Mungu, wana mambo yakifunuliwa kwako, utazimia...
ππ¨πUzi wako wote huu umesamaraiziwa na wimbo wa NYOTA NDOGO uitwao KUNA WATU NA VIATU
βοΈNaam naam
πππππ aaah kujirudisha mbona simple tyuuu.Wivu Tu na insecurities zake,.
Lakini yanini kumtesa mtu Kwa suala unaloweza kuliacha,.
I chose him over my best friend... Hapa nawaza nikiachwa naanzaje eti kujirudishaπππππ
πππππDawa ya wamatumbi viherehere , vaa pendeza , kula vizuri , fuata mambo yako usiwazingatie , usiwalalamikie shida , hata ugonjwa , kuwa positive mda wote , utayaona yanavyo hangaika kama kuku anavyotafuta pahala pa kutagia.
Usintegemee binadamu mwenziyo kukutatulia matatizo yako. Mara nyingi amini nafsi yako kabla ya wengine.Good morning,.