Nyie ndio ambao mkisikia kelele ya mwizi barabarani mnakimbilia mawe, mafuta na kiberiti....Wakili anayemtetea hana Watoto wala mke.
Atakuja kuelewa hilo somo siku mtoto / mke wake atakutana na Padre.
Kama ni mkristo utakuwa unajua kabisaa hata shetani aliwahi kuwa malaika tena mkuu.Sawa. Ila mara nyingi haki hupindishwa huko mnakoita mahakamani.
Hata siwezi kumtetea kama ana najisi watoto sheria zifanye haki tuAiseee basi sawa. Ila huyu kwa watu wanaomfahamu na,wamesoma,nae wanamjua vizuri. Ww utaona ngoja kesi iendelee ila nahofia kukatizwa njiani
Ni kweli hilo lipo ila kuna kukata rufaa Lakini tena wakati mwingine gharama za kuendesha kesi au kuzungushana mahakamani watu wengi wanaachana na kesi hiyo kwa kuzingatia kwamba kesi huweza kumfilisi mtu - inakutia umaskini.Sawa mkuu ila na sisi wenye elimu finyu tulonayo tunaona kabisa kuna mahala mahakama haitendi haki.
Kweli natamani hata mahakama za kimila zirudi. Ukikutwa na hatia unacharazwa au kunyongwa mambo yanishia hapo. Mambo sijui ya kufananisha kesi ya mwaka fulani sijui iliendaje ni kupoteza mudaNi kweli hilo lipo ila kuna kukata rufaa Lakini tena wakati mwingine gharama za kuendesha kesi au kuzungushana mahakamani watu wengi wanaachana na kesi hiyo kwa kuzingatia kwamba kesi huweza kumfilisi mtu - inakutia umaskini.
Acha ujinga wewe.ukristo umeingiahe hapo?.Watu wanachokitaka ni sheria kufwata mkondo.kama kafanya ikathibitika hatua zichukuliwe.na kama ni tofauti hapate haki yake.haya mambo wala hayahusu dini kwasababu yanaweza kimkuta yoyote hata uko misikitini.Yaani mnavyomtetea huyo padri nyie wakristo aisee, ngojea siku afanyiwe hivyo mtoto wako au we mwenyewe ukizima
Mbona jambazi lililoua kikatili huwa na wakili? Si hivyo tu, likipatikana na hatia na kuhukumiwa kunyongwa, kesi hupelekwa mahakama ya rufaa na bado 'mtuhumiwa' anapewa wakili wa Serekali, labda yeye mwenyewe achague kuwa na wakili wa binafsi. Vitu anavyotuhumiwa kufanya Padri huyu ni viovu sana na havikubaliki kabisa si katika jamii ya kawaida tu bali hasa katika mazingira ya dini. Pamoja na hayo, bado ni haki yake kuwa na wakili.Uwakili ni kazi ya ajabu sana kwakweli, yaani unaanzaje kumtetea mtu katili kama huyo Padri, anaeweza kubaka watoto wadogo?
Mimi ni Mkatoliki kabisa ila naomba sana sheria isipindishwe kwa huyu mtu, apewe adhabu stahiki iwe fundisho kwa wote wanaonyanyasa watoto kihisia kwa sababu ya mwamvuli wa dini.
Leo mahakamani amejificha mpaka pua huiioni kama angekua hajatenda hivyo kwanini ajifiche? Wapo wengi aina yake huko makanisani wenye mapepo kama yake, wanaowaka tamaa kwa watoto ipo siku yao.
Yaani natamani hata mahakama wamtoe kwa wazazi na wananchi wa huko Moshi huyo mtu wamponde mawe. Kuna mtu amesoma naye Seminary anashangaa kwanini hata alifikia level ya upadri wakati tabia yake ya uchafu alianza zamani.
Wakili acha kutetea upumbavu wakati ushahidi upo, maana mtoto au watoto hawawezi kudanganya na tena kwa mtu waliyeaminishwa ni mtu wa Mungu mjue mpaka wamesema wamenyanyaswa haswa.
Lakini Kuna fursa ya kumaliza kesi nje ya mahakama.Kweli natamani hata mahakama za kimila zirudi. Ukikutwa na hatia unacharazwa au kunyongwa mambo yanishia hapo. Mambo sijui ya kufananisha kesi ya mwaka fulani sijui iliendaje ni kupoteza muda
Wewe unakataa mambo ya hisia alafu maoni yako ni kujikanganya tu, swala la hukumu halitegemei mihemko au hisia bali kwendana na sheria na katiba ya nchi.Huyo padri inatakiwa anyongwe kabisa, na wengineo wote wachunguzwe inawezekana ndio tabia yao
Watetezi wa ushoga tushawazoea nyieWewe unakataa mambo ya hisia alafu maoni yako ni kujikanganya tu, swala la hukumu halitegemei mihemko au hisia bali kwendana na sheria na katiba ya nchi.
Vitu vingine vilivyo kwenye ngazi ya mahakama ni kuiachia mahakama itende kazi kwa weledi otherwise kama lengo lako ni ku-obsruct justice.
Haya mambo ya kuhukumu mtu bila pande zote kusikilizwa ni ya watu ambao hawana uelewa wa mambo na ulimbukeni.
Kama sheria inasema akikutwa na hatia kwa ushahidi usio na mashaka basi wamuhukumu kwa mujibu wa sheria na siyo vinginevyo.
Inaelekea bado una akili za kipumbavu sana kama siyo kitoto, kuna mahala nimetetea ushoga? Embu onyesha just one word.Watetezi wa ushoga tushawazoea nyie
Ndio maana lazima upelelezi ufanyike na ikathibitishwe pasipo shaka mbele ya mahakama. Unaweza ukawa na bifu na watu wakakutegenezea zengwe usijue pa kutokea au ukategwa na wewe ukajaa.Ohoo why aseme hivyo?
Ni wakati gani ushahidi utathibitishwa?Sawa ila kama ushahidi upo wanapima nini
Mwezetu umeshibaMi nawaza tuu makosa mengine ningekua wakili ningekua nakataa kumteteq mteja
Exactly.Ndio maana lazima upelelezi ufanyike na ikathibitishwe pasipo shaka mbele ya mahakama. Unaweza ukawa na bifu na watu wakakutegenezea zengwe usijue pa kutokea au ukategwa na wewe ukajaa.