Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
Shida sio pesa shida ni baba hakuwaandaa watoto wake/familia yake
 
Tumia pesa yako kulinda afya yako Dini yako na raha zako enjoy your sweet, hamna mwanamke wakikulindia mali zako ukifa bila yeye kuingiza mwanaume mgine impossible..........

Kuna jama moja hapa mjini hana kazi ila kwasababu ni smart alf mcha mungu yeye kazi yake ni kusitri wajanne wenye uwezo wa mali kwasasa ana wake watatu wajanne wako wilaya mbili tofauti, ila mimi nilikuja kumjua baada yakuuliza rafiki yangu anae uza bucha pale jirani, mara kadhaa na muona anabadili magari nyama wana nunua kilo 5, 5, mara tatu ni kamuuliza mshikaji huyu ana kazi gani kaniambia hana kazi ila ameoa wajana wa tatu wenye mali kwahiyo hana mda wakufanya kazi zaidi ya kutumia mali za wanaume wenzake walio dedi kuwasimamia wajjane na kuwastiri katika maisha yao.
This plan is working great 😃
 
sio kila kitu kinafundishika ndugu.

mara nyingi mafanikio huja kwa jasho na damu na passion ya ndani kabisa ya mtu binafsi.

kifupi ni sacrifice yani roho ya kujikana.

hivi vitu vyooite havifundishiki.
Vinafundishika tatizo matajiri wa bongo wana njia haramu za utajiri kisha wanaweka cover ya njia halali. Mzazi aliyetoa kafara, akawa mwizi, tapeli, fisadi alafu akajenga hoteli hawezi rithisha hivyo vitu pale anaporithisha ile hoteli.

Warithi watafanya kila kitu na bado hoteli isifanye vizuri kumbe ilikuwa ni sehemu ya kutakatishia fedha.
 
Huyo jamaa ana formula nzuri
 
Hii nayo ni another school of thought.

Kumbe Hotel in backup
 
sio kila kitu kinafundishika ndugu.

mara nyingi mafanikio huja kwa jasho na damu na passion ya ndani kabisa ya mtu binafsi.

kifupi ni sacrifice yani roho ya kujikana.

hivi vitu vyooite havifundishiki.
Mafanikio kupita jasho bila uharamu lazima ujikane kweli kweli
 
No body says kwamba alikuwa Ana manipulate mifumo, wazAzi wanakufa hawasemi kama walikuwa wana bargain kushusha mizigo, bandarini na wazee wa tozo. Wazee hawasemi habari ya kodi hewa, wazee hawasemi kama walikuwa wananyonya wafanyakazi

Sasa wewe unaingia kichwa kichwa kwanini usifeli
 
Sio gormula nzuri ndo aklli zetu zilivo kurithi mali za wengine, ni somo kweyu usiwe na matumaini mengi kwa mke na watoto wenyewe hawatakua na huruma na mali zako.
Shida sio huyo Bwana anayeoa wajane bali Hao wajane wenyewe
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
Mkuu. Hazina tatizo lolote. Shida ni kuwa zinaangukia mikono isiyo sahihi. Ndugu yangu nikuambie. Hata kama umerithi sh bilioni kumi na nyumba kadhaa, kama huna nidhamu ya matumizi na ujuzi wa kuziongeza hazitakaa. Hili tatizo huwapata zaidi watu ambao walikuwa hawana fedha na kuzipata ghafla. 1. fedha za kwenye migodi ya madini 2. fedha za kamari 3. fedha za urithi. Fedha zikiingoa ghafla ''zinalewesha'' kwa sababu mwenye nazo anakuwa hajamiliki tena fedha. Hii inafanya azione kama hazitaisha.
 
No body says kwamba alikuwa Ana manipulate mifumo, wazAzi wanakufa hawasemi kama walikuwa wana bargain kushusha mizigo, bandarini na wazee wa tozo. Wazee hawasemi habari ya kodi hewa, wazee hawasemi kama walikuwa wananyonya wafanyakazi

Sasa wewe unaingia kichwa kichwa kwanini usifeli
Hahaha....Hata Juzi RC wa Dae kasema azikwe kiislam ili watoto wasibaki wanatabika njaa kwa kutumia fedha nyingi za mazishi

Niliwaza kwanini kasema hivyo wakati wao ni Kundi la Tz First Class
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
1. alipofariki mwamba, saa zingine familia inakosa mtaji wa kuendeshea maisha, Cashflow ni muhimu sana katika kuhakikisha biashara na familia zinakuwa na uthabiti, hata baada ya changamoto kubwa, familia inauza mali ili ipate ukwasi tu, bila kuwa na malengo endelevu.

2. Uwezo wa kiakili wa mtu mara nyingi huendana na kiwango cha rasilimali/mtaji/biashara anazoweza kusimamia. Ikiwa akili yako imezoea au imeishia kwenye kumiliki kiwango kidogo, kama mfano milioni 1, ukapewa zaidi ya hapo, labda milioni 100, kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kudhibiti. Matokeo yake, unaweza kutumia vibaya au kupoteza hela yote mpaka zirudi kwenye kiwango unachoweza kudhibiti, cha milioni 1.
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
Kitengo maalum,unazungumzia nini hapo?......inawezekana alikua anafanya kazi kitengo maalum cha kuwapiga wakina ulimboka,Sativa,....labda kitengo maalum cha kuwapiga risasi wakina Lissu.....sasa unategemea malipo ya hio kazi ya laana yatazaa matunda kweli?
 
Kosa ni la marehemu. Wabongo wengi hatutaki kuwafundisha watoto na mke mambo yanayohusiana na vipato vyetu ila nao wafuate njia sahihi... kila kitu kinaanza na sisi na kumalizikia na sisi.. mbaya zaidi huwa tunawaonyesha LIVE hatuwaamini hata watoto na mke. Huyo marehemu angempanga mkewe toka mwanzo ungesaidia kuepusha mali kuliwa hovyo.
Unawafundishaje watoto na mke njia ulizotumia kupata mali ikiwa kazi Yako ni:-
1.Kitengo maalum cha kuwapiga risasi wakina Sativa,Lissu,marehemu kibao
2.kazo yako kukaa barabari kukusanya buku mbili kwa Kila gari
3.Kazi Yako ni kutoa mimba hospitali
4.Kuuza maboxi na maboxi ya pombe feki
5.......etc
Haiwezekani hao unaawaachia Mali za ushenzi namna hio wafanikiwe,haiwezekani hata iweje
 
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo

Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.

Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri, alipanga uzazi vyema, kajiwekeza na kusomesha watoto.

Basi mzee wa watu akifariki baada ya siku zake kufika.

Gari lake Mama watoto akauza, alikuwa, huyu wa kiume alikuwa south Afrika. Akarudi na akahamasisha wenzake wachukuwe kiinua mgongo cha mzee.

Wakatapa 150M na wakapiga zikaisha.

Mama yao akawa anahonga dogodogo wa kumkamua.

Yule Binti Mkubwa akapata Bwana akamnunulia Bwana wake Noah ya kutembelea.

Maisha yakaendelea. Binti anapiga bata si mchezo. Viwanja na hotel kali zote anazijua. Mameni ndio usiseme na yeye ndiye anawahonga.

Wakauza Nyumba na kiwanja alichoacha mzee 400M.
Wakagawana Binti na Kaka yake na Mama akala sehemu yake.

Huyu wa kiume akanunua Fuso la Mizigo kwenda Mtawara na Lindi.

Akafilisika Fuso akauza.
Mama amebaki choka mbaya, yule dada yuko hoi anakula karanga kila siku.

Je hizi pesa zina shida gani?
Bado haiishii hapo
Mke na bint zake watakuwa malaya wakutupa

Wa kiume sijui bange au naye atumbukie shimo alilopita Aggrey
 
Unawafundishaje watoto na mke njia ulizotumia kupata mali ikiwa kazi Yako ni:-
1.Kitengo maalum cha kuwapiga risasi wakina Sativa,Lissu,marehemu kibao
2.kazo yako kukaa barabari kukusanya buku mbili kwa Kila gari
3.Kazi Yako ni kutoa mimba hospitali
4.Kuuza maboxi na maboxi ya pombe feki
5.......etc
Haiwezekani hao unaawaachia Mali za ushenzi namna hio wafanikiwe,haiwezekani hata iweje
Nimemaanisha wanaopata mali kihalali. Kuna watu wako vizuri kwenye biashara bila uhalifu nyuma ya pazia ila wabinafsi na hawaamini yeyote hata damu zao. Wakifa wanakufa na mali zao.
 
Mkuu. Hazina tatizo lolote. Shida ni kuwa zinaangukia mikono isiyo sahihi. Ndugu yangu nikuambie. Hata kama umerithi sh bilioni kumi na nyumba kadhaa, kama huna nidhamu ya matumizi na ujuzi wa kuziongeza hazitakaa. Hili tatizo huwapata zaidi watu ambao walikuwa hawana fedha na kuzipata ghafla. 1. fedha za kwenye migodi ya madini 2. fedha za kamari 3. fedha za urithi. Fedha zikiingoa ghafla ''zinalewesha'' kwa sababu mwenye nazo anakuwa hajamiliki tena fedha. Hii inafanya azione kama hazitaisha.
Hii nayo kweli aisee.
 
Back
Top Bottom