a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
- Thread starter
- #41
Anawajua walio wake watakao ingia mbinguni kwa SABABU walio wake HUSIKIA sauti yake na KUIFUATA ,Ukisoma vizuri biblia wapo watakao toboa vizuri ila wachache tena ni baada ya siku kufupishwa mkuu.
Lakini naona MUNGU anawajua watakao ingia na wasioingia, ni kama vile everything kiko planned.
hivyo hata sasa Yesu yupo mlangoni mwa moyo wako na moyo wangu na wa kila binadamu anabisha hodi tusikie sauti yake,tumpokee Yesu moyoni mwetu,tuache njia zetu mbaya za dhambi ambazo zinazoelekeza roho zetu mautini motoni..tumfuate yeye ni NJIA YA,NA KWELI NA UZIMA..
Hivi ndivyo YESU anavyowatambua watu wake ,watu wake husia sauti yake na wanamtii na kumsikiliza na kufuata mafundisho yake yote,wanamuabudu katika ROHO na KWELI.