Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

Niweke poll hapa tuone wangapi wanamuunga mkono kwa hatua alizochukua dhidi ya Corona?Wewe naona uko kwenye mambo ya uchaguzi mimi niko kwenye Corona,hatuwezi kuelewana!Endelea kulamba viatu vya wakubwa wako hapo lumumba!

Kwahiyo akitokea tu Mtu akawa anamtetea Rais JPM basi ni mwana CCM au Mlamba Viatu wa Lumumba? Hopeless Mkubwa!
 
Tujiulize swali lingine, ikiwa Ikulu tunaijua kuwa ipo jijini Dar na Chamwino, Dodoma, iweje Rais wetu afanye kazi na aitishe kikao kikubwa kabisa cha kuitisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, akiwa kijijini kwake Chato?
Kuna mkoa usiokua na Ikulu? hata huko Chato mkoani Geita kuna Ikulu,tatizo lenu kwa kua Rais ni wa Chato na yuko Chato mnapiga makelele yasiyokua na maana, kila kitu ni kujadili tu na mnaacha kufanya kazi za kupambana na uchumi wa familia zenu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mzukulu
Kwa kutegenea vyombo vya dola, kama akivyokiri Katibu Mkuu wako wa CCM, Dkt Bashiru Ally, hakika mtaupata ushindi wa 100%

Mbona mnakataa kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, kama mnajua kuwa kweli mbakubalika nchi nzima??

Kwanza naomba ieleweke kuwa Mzukulu Mimi siyo mwana CCM au Mpinzani bali ni Mtu Neutral na mwenye Mawazo Huru pia.
 
Walienda kwa baiskeli?,kwa akili yako kiduchu unafikiri waliongelea korona pekee?,
Kwa taarifa yako korona ni kijisehemu tu katika mkutani wao,unataka kila jambo liwekwe wazi?,jiongeze. Mystery,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anachoweza kukifanya JPM halafu mystery akakiunga mkono. Sio kila jambo lieleweke kwa kila mtu.
Mimi siyo wa kuunga mkono kila lifanywalo na Rais, hata kama siyo zuri, kama wafanyavyo wale jamaa zetu wa Lumumba buku 7 club, hata kama ni "utumbo"

Lakini nitaunga mkono kwa asilimia 100, jambo jema atakalofanya JPM
 
Walienda kwa baiskeli?,kwa akili yako kiduchu unafikiri waliongelea korona pekee?,
Kwa taarifa yako korona ni kijisehemu tu katika mkutani wao, unataka kila jambo liwekwe wazi?,jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ulivyotinga "full combat" kwenye avatar yako, kwa hiyo huna budi kutetea kwa nguvu zote "majeda" wenzako
 
Tujiulize swali lingine, ikiwa Ikulu tunaijua kuwa ipo jijini Dar na Chamwino, Dodoma, iweje Rais wetu afanye kazi na aitishe kikao kikubwa kabisa cha kuitisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, akiwa kijijini kwake Chato?
Ikulu ni popote atapokuw Raisi akitekeleza majukumu yake ya ki Raisi , ndio maana anaendelea kucmamia nchi ataakiw kwenu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hujui kama anapedelea sana kutumia vyombo vya usalama kuliko wenye taaluma husika...

Hao wanaweza ongozwa na siasa...

Lakini kwenye taaluma husika hakunaga siasa...



Cc: mahondaw
 
Lengo ni kupewa maagizo kupambana na watu wa social media. Hivo tuna tafutwa kila mkosoaji atasakwa. Kuna wakorea na mayahudi wamepewa kazi hio kusaka.

Anaona wana msumbua sana hivo anata wanyamazishwe


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mzee hana imani na mtu yeyote, bali imani yake iko juu ya maguvu, kupiga, kufunga watu. Yaani bila kuamuru mtu fulani akamatwe akateswe mpk ashike adabu haoni kama kahutubia.

Corona inaonekana kwake si ugonjwa bali ni lazima kuwanyamazisha watu na ikiwezekana pasiwepo na utangazaji kabisa wa wahanga wa corona, ikiwezekana vifo vya corona viitwe vya marelia.

Inawezekana kweli ikasaidia kujenga imani kwa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ile meeting ilikuwa na umuhimu?
Hotuba ndio ilikuwa super. Mjifukize sasa na kutumia muarobaini.
 
Ndani ya TISS kuna vitengo ambavyo vinafanya analysis juu ya Tatzo lolote ambalo linakabili taifa na kuwasilisha taarfa kwa mh.Rais , ukubwa wa tatzo na mbinu walizo ona znafaa kutatua tatzo(unazan hadi Mh.Raisi aliposema anawac wac juu ya hivi vfaa vinavyoletwa usizan kasema bila data za msingi mkuu).

themes inawezekan ni hvyoo by the way conference video zinaweza zisiwe secure kwa usalama wa Taifa mkuu

MENGINE SIO RAHISI WEW KUTAMBUA KWA UTASHI WAKO LAKN BADO SERIKALI INACHUKUA HATUA STAHIKI KATK HILI JANGA
MUNGU BARIK NA UILINDE Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mystery,
Jamaa anasema hofu ni zaidi ya corona,ndo maana ameteua katibu mkuu ili wagonjwa waliolala pale amana bila huduma yoyote wakipona watangazwe ili kutupa matumaini kuwa corona haiui.Kinjekitire style inaitwa
 
Ni kiumbe muoga au ukipenda muite "joga"!Anaogopa askari kuliko maelezo.Anawaongeza posho na kuwapendelea kuliko watumishi wengine.

Ndiyo ujue ni jamaa joga.Inaonekana kijijini kwao wakiona polisi wanajifungia mabandani mwao.Hahahahahaaaaa!
 
Tujiulize swali lingine, ikiwa Ikulu tunaijua kuwa ipo jijini Dar na Chamwino, Dodoma, iweje Rais wetu afanye kazi na aitishe kikao kikubwa kabisa cha kuitisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, akiwa kijijini kwake Chato?
Tena nyumbani mwake? Hayo ni matumizi mabaya ya Kodi zetu na dharau kwa watanzania
 
Mimi siyo wa kuunga mkono kila lifanywalo na Rais, hata kama siyo zuri, kama wafanyavyo wale jamaa zetu wa Lumumba buku 7 club, hata kama ni "utumbo"

Lakini nitaunga mkono kwa asilimia 100, jambo jema atakalofanya JPM
JPM ni binadamu kama mimi na wewe lakini yapo mengi mema anayoyafanya. Buku saba hizo ni hadithi za mitaani hakuna kitu kama hicho.
 
Kuwaita majeshi badala ya watalamu wa afya ni kuwakatisha tamaa watalamu ktk kupambana na hiki kirusi, pia sidhani kama jiwe anatuheshimu wapiga kura kwasababu hategemei kura zetu kurudi awamu ya pili
Ile Kauli ya kinana ina ukweli %

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo cha utimamu wa akili na mwili wa mtu anaitwa mtanzania blla kujari nafasi yake kwenye nchi hii ni October 2020. Yaani Magufuli kwa watu wenye akili timamu na uhai si tu hatakiwi kuchaguliwa bali hata ile kuonesha Nia tu ya kugombea Tena anatakiwa apigwe vita
 
Hivi unaweza ukawa comfortable kabisa Kuongea na Watu wa Afya kama hali ya Usalama haijulikani? Pungezeni kuwa Wapuuzi.
Usalama wa Nini,? Kuna nchi imetishia kuingia kwenye Vita na sisi?
 
Back
Top Bottom