Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Sasa msitake asifiwe hata tunapoona anavurunda!Kukosea hakuna asiyekosea, lakini mamlaka yake ipo pale pale, udhaifu ni sifa ya binadamu, ndio maana tunapiga magoti misikitini na makanisani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa msitake asifiwe hata tunapoona anavurunda!Kukosea hakuna asiyekosea, lakini mamlaka yake ipo pale pale, udhaifu ni sifa ya binadamu, ndio maana tunapiga magoti misikitini na makanisani.
Niweke poll hapa tuone wangapi wanamuunga mkono kwa hatua alizochukua dhidi ya Corona?Wewe naona uko kwenye mambo ya uchaguzi mimi niko kwenye Corona,hatuwezi kuelewana!Endelea kulamba viatu vya wakubwa wako hapo lumumba!
Kuna mkoa usiokua na Ikulu? hata huko Chato mkoani Geita kuna Ikulu,tatizo lenu kwa kua Rais ni wa Chato na yuko Chato mnapiga makelele yasiyokua na maana, kila kitu ni kujadili tu na mnaacha kufanya kazi za kupambana na uchumi wa familia zenu
Tujiulize swali lingine, ikiwa Ikulu tunaijua kuwa ipo jijini Dar na Chamwino, Dodoma, iweje Rais wetu afanye kazi na aitishe kikao kikubwa kabisa cha kuitisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, akiwa kijijini kwake Chato?
Kumsifia ni maamuzi yako binafsi, hakuna anayekushikia bunduki.Sasa msitake asifiwe hata tunapoona anavurunda!
Mzukulu
Kwa kutegenea vyombo vya dola, kama akivyokiri Katibu Mkuu wako wa CCM, Dkt Bashiru Ally, hakika mtaupata ushindi wa 100%
Mbona mnakataa kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, kama mnajua kuwa kweli mbakubalika nchi nzima??
Mimi siyo wa kuunga mkono kila lifanywalo na Rais, hata kama siyo zuri, kama wafanyavyo wale jamaa zetu wa Lumumba buku 7 club, hata kama ni "utumbo"Hakuna anachoweza kukifanya JPM halafu mystery akakiunga mkono. Sio kila jambo lieleweke kwa kila mtu.
Naona ulivyotinga "full combat" kwenye avatar yako, kwa hiyo huna budi kutetea kwa nguvu zote "majeda" wenzakoWalienda kwa baiskeli?,kwa akili yako kiduchu unafikiri waliongelea korona pekee?,
Kwa taarifa yako korona ni kijisehemu tu katika mkutani wao, unataka kila jambo liwekwe wazi?,jiongeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu ni popote atapokuw Raisi akitekeleza majukumu yake ya ki Raisi , ndio maana anaendelea kucmamia nchi ataakiw kwenu....
Tujiulize swali lingine, ikiwa Ikulu tunaijua kuwa ipo jijini Dar na Chamwino, Dodoma, iweje Rais wetu afanye kazi na aitishe kikao kikubwa kabisa cha kuitisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, akiwa kijijini kwake Chato?
Tena nyumbani mwake? Hayo ni matumizi mabaya ya Kodi zetu na dharau kwa watanzania
Tujiulize swali lingine, ikiwa Ikulu tunaijua kuwa ipo jijini Dar na Chamwino, Dodoma, iweje Rais wetu afanye kazi na aitishe kikao kikubwa kabisa cha kuitisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama, akiwa kijijini kwake Chato?
JPM ni binadamu kama mimi na wewe lakini yapo mengi mema anayoyafanya. Buku saba hizo ni hadithi za mitaani hakuna kitu kama hicho.Mimi siyo wa kuunga mkono kila lifanywalo na Rais, hata kama siyo zuri, kama wafanyavyo wale jamaa zetu wa Lumumba buku 7 club, hata kama ni "utumbo"
Lakini nitaunga mkono kwa asilimia 100, jambo jema atakalofanya JPM
Kipimo cha utimamu wa akili na mwili wa mtu anaitwa mtanzania blla kujari nafasi yake kwenye nchi hii ni October 2020. Yaani Magufuli kwa watu wenye akili timamu na uhai si tu hatakiwi kuchaguliwa bali hata ile kuonesha Nia tu ya kugombea Tena anatakiwa apigwe vitaKuwaita majeshi badala ya watalamu wa afya ni kuwakatisha tamaa watalamu ktk kupambana na hiki kirusi, pia sidhani kama jiwe anatuheshimu wapiga kura kwasababu hategemei kura zetu kurudi awamu ya pili
Ile Kauli ya kinana ina ukweli %
Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama wa Nini,? Kuna nchi imetishia kuingia kwenye Vita na sisi?Hivi unaweza ukawa comfortable kabisa Kuongea na Watu wa Afya kama hali ya Usalama haijulikani? Pungezeni kuwa Wapuuzi.