OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ameandika Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele na sisi wa pongezi tuka gonga hapo hapo Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Iko wapi tuichambueAmeandika miaka 30 ya vyama vingi Tanzania
P
Iko wapi tuichambue
Aliona siasa za Afrika zimejaa ujinga na ukizi approach kwa ideals kama mwenyewe alivyokuwa anajaribu mwanzo utaishia kujuta tu..aliandika makala kuhusu falsafa yake ya "4R."
..sina uhakika kama alikuwa na uelewa wa alichoandika, au aliamini kwa dhati andiko lake.
..zaidi, aliitupilia mbali falsafa ya 4R muda mchache baada ya kuchapisha makala hiyo.
Rais Samia alivyokuwa anaanza urais alikuwa idealist fulani hivi, maridhiano, demokrasia, 4R , Rule of law n.k
True, na sisi pia tulimpoozea sasa ni spana za kimtindo!.Rais Samia alivyokuwa anaanza urais alikuwa idealist fulani hivi, maridhiano, demokrasia, 4R , Rule of law n.k
Baadae akaja kuona upuuzi wa siasa za Afrika, akaamua kuwa pragmatic kama Magufuli
Ameandika “chonde chonde na Hili mkalitazame”Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Katika marais wetu, Nyerere ndiye alikuwa kiboko. Yaani ukisikia rais msomi ndiyo yule. Hata Mkapa anaingia kwenye list. List uchwara ni Magufuli, Samia na Kikwete.Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Nyerere Ndiye aliyefilisi uchumi wa nchi yetu pamoja na maandiko yakeKatika marais wetu, Nyerere ndiye alikuwa kiboko. Yaani ukisikia rais msomi ndiyo yule. Hata Mkapa anaingia kwenye list. List uchwara ni Magufuli, Samia na Kikwete.
Magufuli alifoji elimu ndiyo maana wakamuua Ben Saanane. Vinginevyo, duniani hakuna msomi wa kweli atakayekasirika kwa mtu kuhoji elimu yake. Yaani eti sasa hivi uanze kumshambulia Pro. Shivji kwa kuhoji uprofesa wake halafu akasirike? Kwanza wewe unayehoji utaonekana ni mwehu!Yale yale ya Ben Saanane, be veru6 careful
Aliona siasa za Afrika zimejaa ujinga na ukizi approach kwa ideals kama mwenyewe alivyokuwa anajaribu mwanzo utaishia kujuta tu
Ndio maana sasa anarudisha na wale mafioso wa Magufuli
Nyerere hakufilisi uchumi wa nchi. Nyerere alianzisha mashirika na viwanda vingi tu lakini hakujua watanzania ni wezi na wavivu wa kutupwa. Enzi za Nyerere watu waliokuwa wanasoma bure. Hospital bure. Kulikuwa mpaka na kupewa warrant wa kusafiri kwa wanafunzi na watu wengine kama wanamuziki. Kwa kifupi watu wa kawaida ndiyo walikuwa wana-enjoy keki ya Taifa. Hebu nionyeshe katika hizi nchi za sub-Sahara African countries ni nchi ipi wananchi wake walikuwa wanaishi vizuri kama Tanzania kipindi cha Nyerere! Nyerere mpaka raslimali aliziacha kwa matumizi ya baadae. Sasa hizi wanashindana kuzipiga bei.Nyerere Ndiye aliyefilisi uchumi wa nchi yetu pamoja na maandiko yake
Nyerere hakufilisi uchumi wa nchi. Nyerere alianzisha mashirika na viwanda vingi tu lakini hakujua watanzania ni wezi na wavivu wa kutupwa. Enzi za Nyerere watu waliokuwa wanasoma bure. Hospital bure. Kulikuwa mpaka na kupewa warrant wa kusafiri kwa wanafunzi na watu wengine kama wanamuziki. Kwa kifupi watu wa kawaida ndiyo walikuwa wana-enjoy keki ya Taifa. Hebu nionyeshe katika hizi nchi za sub-Sahara African countries ni nchi ipi wananchi wake walikuwa wanaishi vizuri kama Tanzania kipindi cha Nyerere! Nyerere mpaka raslimali aliziacha kwa matumizi ya baadae. Sasa hizi wanashindana kuzipiga bei.