Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

Anaejidai kukusomesha elewa kuwa anakujaza ujinga.

Tazama serikali mpaka leo, waziri gani wanawe wanasoma bure?

Wajinga ndiyo waliwao.
We ni mjinga zaidi, muulize muislamu mwenzako anayetuongoza ada alilipa bei gani? wazanzibar wote mlikimbilia bara kwenye elimu ya bure wala Nyerere hakubagua dini wala kabila, zamani wakati babu yangu anasoma ilikuwa ni fahari kusoma shule za umma kuliko za private, Mwinyi kaja kuu elimu JK kaizika kabisa.
 
Wanaojidai wasomi ni uchwara tu na ma paper yao hayajaisaidia lolote hii nchi toka ipate uhuru.

kwa makaratasi yenu, mnadaiwa deni jipya na wazungu la billioni 260 mkalilipe.

Kuna wakati walijazwa wasomi uchwara wa majalalani serikalini kama wakati wa mwendazake? Matokeo?

Zinatutokea kuliko barikiwa. ngumu, inauma lakini inabidi utekeleze matakwa ya wasomi uchwara ubarikiwe.
 
Wewe Zanzibar huifahamu, walikuwa watawala wako wale kabla ya kuja Mjerumani hapa. Hakujawahi kuwa na ada ya shule kwao wala hakujawahi mwanafunzi kukosa daftari wala kitabu wala kalamu. Kama unabisha muulize Aboud Jumbe na Mzee Mwinyi walienda kufanya nini kutokea bara enzi za utawala wa Sultani?
 
Kiwanda hicho kilikuwa cha mtu anayeitwa Tiny Rowlnds, mwenye kampuni ya LONRHO. Kikafungiliwa mbali na Nyerere.

Huwa sikisii.
Basi usiongee mambo usiyoyajua. Tiny Rowalnd alikuwa anamiliki kampuni ya LONRHO - Yaani London Rhodesia akiwa anashikirikiana na utawala wa ubaguzi wa rangi wa smith huko Rhodesia (ambayo leo ni Zimbabwe). Hapa kwetu hakuwa na kiwanda cha kutengeza matrekta bali alikuwa na mashamba ya chai huko nyanda za juu na Korogwe, pamoja na kiwanda cha mabkosi cha printpak. Kiwanda cha Valmet kililetwa na Nyerere kutoka Finland.

Alifukuzwa Tanzania mwaka 1977 muda mfupi baada ya kuzaliwa CCM kwa kutokutii maamuzi ya umoja wa mataifa kuhusu vikwazo Zimbabwe
 
Sasa kama ni kuzuri mmejazana bara kutafuta nini? mishahara inatoka bara na kila kitu
 

Tatizo sio serikali tu na wananchi. Ambao hawataki mwanga. They rather wabaki kwenye giza badala ya kuuchukua mwanga
 

Japokuwa umejaza sababu zisizoendana na swali ulilo ulizwa

Tatizo sio wasomi kuandika paper ni papers hazifanyiwi kazi. Huo umekuwa utamaduni wa nchi.
Or for someway wasomi hawadhaminiki na siasa ndio zinaamiwa zaidi.
 
Hahahaha alipoondoka akaenda kufanya yake, tukaminywa mbupu tukakosa mpaka chakula, akapigiwa magoti arudishe uwekezaji wake.

Tulipocheza na hao walinda biashara za uchumi wa Muingereza ndipo tulipojichongea, mpaka chakula muhimu cha kila siku tukawa tunakaa foleni na kuwekewa resheni, Tukashika adabu mpaka leo kucheza nao.
 
Unaongea mambo ya kisimuliwa tu; sijui wewe wakati huo wewe ulikuwa wapi kwani ilitokea mwishoni mwa mwaka 1977 baada ya msuguano na Azimio la umoja wa mataifa. Alihangaika sana kuikaba Tanzania lakini hakufanikiwa kabisa. Wakati mwingine watu wenye mtazamo mfupi kama wewe hupenda kuchanganya matokeo ya vita mwaka 1980 na matokeo ya sera za nchi kabla ya 1979.
 
Yaani wewe unafikiri uandishi wa journal publications ni sawa na kuandika SMS?
 
FaizaFoxy kumbe unazo??😂🤣😂🤣
 
Mhhh...
Muda anao? Na hata akiandika na kukutana na wale wasioshiba, walafi, wezi, mafisadi, makupe, watampa hata nafasi ya kuyatekeleza?!
 
Nilisikiliza hotuba yake ya miaka 60 ya Uhuru, ilijaa makosa mengi na tuliichambua hapa, kusema kabla ya Uhuru hatukuwa na shule za private, mfumo wa vyama vingi kuanza mwaka 92 na Mambo mengi yaliyokuwa yanapingana na takwimu halisi.
 
Warusi wanasema moja ya sababu ya kuwa na uchumi imara ni kuchukua mikopo ya imf na benki ya dunia lakini walikataa masharti yao ya kuingia ubia na sekta binafsi kwenye maeneo nyeti ya kiuchumi.
 
Kwanini kama watu wanahitaji maendeleo hizo PhD za heshima anazopewa Samia kila kukicha zinamsaidiaje mtanzania kimaendeleo?

Mnapompamba kwa PhD hizo za heshima muwe tayari kusikia msiyoyapenda kuyasikia ikiwemo kutrace back path yake kielimu kupata nishani za darasani.

Is that even hard to grasp ndg wakili?
 
Siyo kwamba alipoanza tu kulewa madaraka (yaani pale tu madaraka yalipo mnogea/alipoanza tu kutukuzwa kupitiliza, na kuanza kuchukuliwa na wasaidizi wake kama mungu mtu) ndipo mambo sasa yaliponza kubadilika!!
Unafanya maridhiano na watu, watu badala ya kukukisoa kwa hoja wanazunguka nchi nzima kutukana kukudhihaki
 
Nilisikiliza hotuba yake ya miaka 60 ya Uhuru, ilijaa makosa mengi na tuliichambua hapa, kusema kabla ya Uhuru hatukuwa na shule za private, mfumo wa vyama vingi kuanza mwaka 92 na Mambo mengi yaliyokuwa yanapingana na takwimu halisi.
No one is perfect!, kabla ya uhuru ni kweli hatukuwa na private school, pia it's true vyama vingi vimeanza mwaka 1992.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…