Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga.
Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso huwezi kuyafurahia hata iweje Mana hata yesu aliyaogopa ndo Mana alisema ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.
Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso huwezi kuyafurahia hata iweje Mana hata yesu aliyaogopa ndo Mana alisema ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.