Hapo hakuna mfungo ,watu wanabadili usiku inakuwa mchana mchana inakuwa usiku kwenye kula ....
Sasa jion unakuta saa moja hio ...
Wanakula futali ,uji + tambi+ viazi+ magimbi + chapati +juice.....
Bado ikifika usiku saa kumi ,wanaanka kula wali + nyama + samaki + viazi+ wanashushia na juice ...
Bado hapo katikati saa nne Hadi saa tano usiku ni mwendo wa kula tuuu ....
ikifika asubuhi et hawali wamefunga [emoji23],wakati kwa hali ya kawaida mavyakula umeyokula yote hayo asubuhi huwezi sikia njaa hata mchana labda jion Sana ,ambapo wanakula tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatuchezea akili Hawa et mfungo [emoji1787]