Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Sawa Miungu ila nyie mnamtimizia Mungu, bora hao wamejatibu lakini kama kuna wakristo wanaomudu alau huko kushinda na njaa kwa masaa ambayo Waislamu hushinda nayo. basi ni asilimia 10 tu, wengi huwezi kuwatofautisha na wanyama hakuna pa kukumkumbuka Mungu full time.Ngoja waje waarabu wa buza...jiandae kwa povu lao mana leo ni wanaita chungu cha mwisho wanahasira kama mbogo aliyejeruhiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida wazipatazo Waislamu ingawa wanashinda na njaa, kile kitendo cha kushinda na njaa kwa ajili ya Mungu, Mungu anawatambua kuwa hawa wanashinda na njaa kwa ajiri yangu.
Mwenye njaa kiasi mwili huwa dhaifu hivyo kwenye matukio mengi hasa mabaya huyu humuepuka, anapokumbuka nashinda na njaa kwa ajili ya Mungu
Mtanzania mwenye asili ya Utanzania kabisa, ukiachana na Wazamiaji maana siku hizi nchi ina watu wengi wasio Watanzania waliojipenyeza na kuishi kinyemela.
Ila kwa Watanzania tunajuana, kuwa Tuna imani mbili kuu, na kila inaheshimu imani nyingine.
Maana Bibilia siyo Quran, Wala Qurani siyo bibilia.