Kwa hiyo ni kugeuza mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchanaRamadhani ni mwezi wa kujizuia kula na kunywa kwa muda wa mchana tu.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ni kugeuza mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchanaRamadhani ni mwezi wa kujizuia kula na kunywa kwa muda wa mchana tu.
Kwani maana ya kafiri uijuavyo wewe ni nini?Chuki haileti maendeleo ila kuita mtu kafiri kunaleta. Juha wewe
Wapi ulipoambiwa mtu anaweza kuugeuza usiku kuwa mchana na mchana kuwa usiku? Au ni fikra zako tu?Kwa hiyo ni kugeuza mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchana
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Halafu na wewe Bi Mkubwa, muda huu unatakiwa uwe kwenye swala ya Eid, au uwe umetingwa kweli kweli kuandaa maakuli kwa ajili ya familia yako hapo baadaye!Wapi ulipoambiwa mtu anaweza kuugeuza usiku kuwa mchana na mchana kuwa usiku? Au ni fikra zako tu?
Ni ujuha tu kuwa na dhanna hiyo.
Hiyo Eid ipi inayosaliwa saa nne asubuhi? Halafu kwa ufinyu wa fikra zako za upunguani unafikiri watu wote wanaoingia JF wapo jirani yako.Halafu na wewe Bi Mkubwa, muda huu unatakiwa uwe kwenye swala ya Eid, au uwe umetingwa kweli kweli kuandaa maakuli kwa ajili ya familia yako hapo baadaye!
Haya mambo ya kujibizana na Makafir humu, huoni yatasababisha ushindwe kutimiza majukumu yako mengine?
Unataka waislam wafunge na usiku kwa siku 30!?Kwa hiyo hao Masheikh wana tabia ya kuwafiranga siyo! Tuanzie na wewe kwanza. Maana mimi sina kabisa ukaribu na watu wa aina yenu.
Mimi nina uhakika kila goti kwa Yesu litapigwa.Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Naamini kafiri wa leo ndiye Muumini wa kesho.
Ukiambiwa ubadili na ww ratiba kama HVO utaweza....au ilimradi umeropokaNi kipindi cha kubadilisha tu ratiba ya chakula. Badala ya kukandamiza mchana na kupumzika usiku, watu wanakandamiza usiku na kupumzika mchana.
Sasa nibadili ili nigundue nini! Ratiba yangu inaniongoza kula kwa kiasi kidogo tu nyakati za usiku ili nipate usingizi mzuri, na pia mmeng'enyo wa chakula ufanye kazi vizuri.Ukiambiwa ubadili na ww ratiba kama HVO utaweza....au ilimradi umeropoka
Wewe Bibi acha uchoyo! Fanya kutualika basi ili tuje tule Eid! Leo ndiyo siku ya kuhitimisha karamu. Ni mwendo wa kula na kusaza siku nzima.Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Naamini kafiri wa leo ndiye Muumini wa kesho.
Ndo maana yake.Kwa hiyo ni kugeuza mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchana
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Usichokielewa Waislamu asilimia 90, mwezi wa ramadhani wanaupa heshima hivyo wengi hufunga, ndiyo maana mama mtilie jioni huuza sana futari kwa Waislamu amba wako mbali na wenzio wao masingo, na hata kwa baadhi ya Wakristo ambao wanataka kula chakula chepesi usiku.Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga.
Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso huwezi kuyafurahia hata iweje Mana hata yesu aliyaogopa ndo Mana alisema ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.
Hamna mnapofunga, mnabadilisha tu ratiba ya kula.Kwanza wewe juha, Uswahili ndiowap? Sema wazi tu huku kwa Waislam.
Kufunga ni nani alikudanganya kuwa ni mateso?
Kufunga ni ibada kama zilivyo ibada nyingine na hakuna ibada yenye mateso.
Mwezi mtukufu wa Ramadhan kufunga kuna muda wake maalum, nje ya muda huo kula uwezavyo na jinsi ulivyojaaliwa. Kila anaefunga hata wakati wa kuruhusiwa kula basi hula kwa kiasi chake na hali kupita kiasi kama unavyotaka ieleweke, si atavimbiwa.
Acha ujinga na chuki zako za kijinga. Kama wewe hufungi usifunge lakini tuwache Waislam na ibada zetu, usituingilie wala usitutafute kwa chokochoko zako za kijinga.
Wewe mtu akila, anakula chako? Sema unahamu ya futari za Waislam, kitu ambacho huwezi wala hujuwi kupika kwake. Wewe umezzowea dona kutwa mara tatu, achana kabisa kuchokonoa Waislam. Watu kama wewe ndio sumu kwenye jamii.
Wewe kinakuuma nini? Au kinakuwasha nini?
Inakuwaje Sasa mnajipakia mavyakula usiku kucha?Wapi ulipoambiwa mtu anaweza kuugeuza usiku kuwa mchana na mchana kuwa usiku? Au ni fikra zako tu?
Ni ujuha tu kuwa na dhanna hiyo.
Hajui kuwa hata huko macca kwenyewe kila kitu kinaendeshwa na mmarekaniYaani watu waache dunia itawaliwe na watu wa meccah kabisa kabisaa,aisee wake up my sister utakuwa unaota wewe
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Ni kula tu, na ndio maana sasa hivi kitimoto kitaanza kuuzika tenaKwako we unadhani Ramadhani waislamu wanajizuia kula tu??
Wapo vizuri sn