Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kwa hiyo ulikuwa unataka tufunge kula siku thelathini?Hapo hakuna mfungo
Ni hatari snUkiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga.
Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso huwezi kuyafurahia hata iweje Mana hata yesu aliyaogopa ndo Mana alisema ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.
Hivi na maji hawanywi?Hapo hakuna mfungo ,watu wanabadili usiku inakuwa mchana mchana inakuwa usiku kwenye kula ....
Sasa jion unakuta saa moja hio ...
Wanakula futali ,uji + tambi+ viazi+ magimbi + chapati +juice.....
Bado ikifika usiku saa kumi ,wanaanka kula wali + nyama + samaki + viazi+ wanashushia na juice ...
Bado hapo katikati saa nne Hadi saa tano usiku ni mwendo wa kula tuuu ....
ikifika asubuhi et hawali wamefunga [emoji23],wakati kwa hali ya kawaida mavyakula umeyokula yote hayo asubuhi huwezi sikia njaa hata mchana labda jion Sana ,ambapo wanakula tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatuchezea akili Hawa et mfungo [emoji1787]
Mimi ni Khafiri,ila nakuunga Mkono!Nje ya Mada
Daaah, Maadui ni wale wale Umaskini ,Maradhi , na UJINGA ...nasisitiza tena UJINGA
Kumradh watu wangekuwa na Elimu hata Punje Ya haradali Uzi huu usingeanzishwa
True na wanakula haswaaNi kipindi cha kubadilisha tu ratiba ya chakula. Badala ya kukandamiza mchana na kupumzika usiku, watu wanakandamiza usiku na kupumzika mchana.