Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

Nini maana ya kufunga
 
Ramadhani ni mwezi wa kujizuia kula na kunywa kwa muda wa mchana tu.
 
Makobazi watakulaani
 
Kwanza wewe juha, Uswahili ndiowap? Sema wazi tu huku kwa Waislam.

Kufunga ni nani alikudanganya kuwa ni mateso?

Kufunga ni ibada kama zilivyo ibada nyingine na hakuna ibada yenye mateso.


Mwezi mtukufu wa Ramadhan kufunga kuna muda wake maalum, nje ya muda huo kula uwezavyo na jinsi ulivyojaaliwa. Kila anaefunga hata wakati wa kuruhusiwa kula basi hula kwa kiasi chake na hali kupita kiasi kama unavyotaka ieleweke, si atavimbiwa.

Acha ujinga na chuki zako za kijinga. Kama wewe hufungi usifunge lakini tuwache Waislam na ibada zetu, usituingilie wala usitutafute kwa chokochoko zako za kijinga.


Wewe mtu akila, anakula chako? Sema unahamu ya futari za Waislam, kitu ambacho huwezi wala hujuwi kupika kwake. Wewe umezzowea dona kutwa mara tatu, achana kabisa kuchokonoa Waislam. Watu kama wewe ndio sumu kwenye jamii.

Wewe kinakuuma nini? Au kinakuwasha nini?
 
Wewe inakuuma nini hata useme wanakuchezea akili? Una akili ipi ya kuchezewa wewe punguani?

Ibada ya Waislam wewe kinakuwasha nini?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kula kwa fujo bila kuzingatia afya na kungononeka usiku baada ya kula daku
 
Watu tunashindwa kuelewa kitu hapa yani mfungo wa kwaresma ni tofauti kabisa na ramadhan sababu kwaresma kufunga kwake sio kula tu unaweza ukala kiasi kidogo sana mchana hadi usiku lakini matendo ndio yanaangaziwa zaidi lakini kuna jamaa hapo juu kasema ramadhan nu kujizuia kula kwa muda wa kutoka jua hadi kuzama ndio maan jua likizama wanaruhusiwa kula kwa kiasi chochote kimtoshacho mtu husika, rejea #24
 
Mimi ni kafiri ila sio kama wewe, mana kafiri wa aina yako na mpumbavu hawana tofauti, mana wote hamna ubongo wa kuelewa somo lolote lile. Tumeshaambiwa kuwa mfungo wa mwezi Ramadhani ni ibada ya waislamu pamoja na mambo mengine pia inahusu kujizuia kula tokea jua linapochomoza hadi jua linapozama. Usiku ni ruhusa kula na kunywa wapendavyo. Sasa ulitaka wafate matakwa yako wawe wanafunga na usiku pia? Kwa kweli ukafiri wa aina yako ni kazi sana.
 
Watu wachokozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa ndugu Kinyesi. Nimekuelewa.
Mkuu mbona unaonekana una chuki sana dhidi ya hawa ndugu zetu Waislamu!

Ama kuna Sheikh aliku-Firaga akakuacha mataa ndio unatoa hasira zako hapa.
 
Mkuu mbona unaonekana una chuki sana dhidi ya hawa ndugu zetu Waislamu!

Ama kuna Sheikh aliku-Firaga akakuacha mataa ndio unatoa hasira zako hapa.
Kwa hiyo hao Masheikh wana tabia ya kuwafiranga siyo! Tuanzie na wewe kwanza. Maana mimi sina kabisa ukaribu na watu wa aina yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…