Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

Kuna ukwel kdg kipnd iki cha mfungo familia za kiislamu bajeti ya chakula huwa ni kubwa kuzidi kipnd kingne chochote cha mwaka
Ni kweli bajet inakuwa kubwa mwezi wa Ramadhani kwa sababu wanawaalika wasiojiweza kufturu nao , ni mwezi wa kusheya na wengine wasiobahatika, ndo maana ukaitwa Mwezi mtukufu
 
Islam is aworld religion like it or hate by 2050 half European population will pronounce "laillah illah muhammad rasullullah" the famous kalimah shahadah.
 

Attachments

  • IMG-20220503-WA0021.jpg
    38.5 KB · Views: 7
  • IMG-20220503-WA0018.jpg
    64.9 KB · Views: 7
Usiku ni ma-bufeee
 
Sio kitimoto tu hata vibaka, watumia madawa, mashoga, wasagaji, wauza madawa, wauza uchi wataongezeka maana wengi wao walifunga
Hata hawa walifunga...

licha ya vichwa vya habari kuhusu "lobi ya mashoga" yenye nguvu ndani ya Vatikani, na Papa mpya anayeahidi mageuzi, makadinali mashoga wa Kanisa Katoliki, watawa, na makasisi wengine wanaishi katika ulimwengu wa siri uliofichwa. Huko Roma, mwandishi anajifunza jinsi wanavyopitia kitendawili hatari cha maisha yao.


 
Kula sana
 
Ni kipindi cha kubadilisha tu ratiba ya chakula. Badala ya kukandamiza mchana na kupumzika usiku, watu wanakandamiza usiku na kupumzika mchana.
Badili nawe kama rahisi
 
Fanya nawe wiki kisha leta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…