Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?



Kama mimi kazi zangu zote ni online, na naweza kaa online up to 14 hours a day, acha kuamka kwa alarm, jamii forum ni kama break yangu nikiwa natafakari.
 
Subiri anakuja ku react
 
Wewe ni noma kaka hivi hujawahi chelewa kazini kisa jamii forum, tupe uzoefu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Niligraduate chuo, nikaa nikapata CPA nikafanya kazi 8 months, sijawahi rudi kwenye ajira mpaka leo nina 55 years.

Ila kuna wakati naweza spend mda mwingi sana kwenye kazi kama ni eneo ugumu, wakati mwingine nachat huku napiga kazi.
 
Jf mongers Tupo wengiπŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Sio kila mtu lazima afanye kazi πŸ˜„
Sio kwa ubaya lakn ni maoni tu 🍻
πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜… hatimaye yametia nilitaka ukomenti.

Kwa hiyo tajiri unatumbua midolari yako kidogo kidogo mpaka ukufe. a.k.a ginimbi a.k.a hushpupi a.k.a mompha a.k.a don majina ni yote papaa ndama mutoto ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…