Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Unataka twende wapi wakati huku tulipo hakuna wa kucheza nao?
 
Mkuu kuna ID huwa zinamilikiwa na watu zaidi ya mmoja ,rejea Juma pinto alivyokua anaeleza kwamba walikuwa wanatumia ID moja Jambo Forums na hata gogoki2014 nayo ilikuwa inamilikiwa na mtu zaidi ya mmoja ,kwahiyo inawezekana pia hiyo ID nayo inamilikiwa na mtu zaidi ya mmoja.
 
Una hakika anareact kwa kila thread? Anyway sio kazi ila angereact kwa kila comment labda

Japo anajitahidi sana kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifahamu ukweli wa hili mkuu, heshima yako kiongozi, wewe ni member wa muda sana na umekuwa mchangiaji mzuri humu hususani kutoa ushauri mbalimbali.
 
raraa reree upewe maua yako bro
 
Huyo ni robot/ program sio mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…