Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu ni wewe ulisemaga unapendaga mashoga na bangi?raraa reree amenichangia reaction 10000 ni mwanangu wa nguvu mnooo
Hilo neno SakotuBako hivi lina maana gani slogan mbovu kabisaNyie Jamaa mnaenda sakotubako kabisa akitoka huyu anaingia huyu yaan JF ifikirie namna ya kuwatunuku tunzo ya heshima kiukweli
Baada ya kukimbia ile mada yake 😂🤣🤣🤣umemuona GENTAMYCINE siku hizi kaja na Id ya cognizant anajifanya anatetea baada ya kupigwa BAN
Mfalme huihui aogopa!!!..usiogope huihui,tatizo siku hizi mwabadili maana ya maneno,ukisema huihui kanigonga,watu hawaulizi kakugonga na nini,pikipiki au,wanakua na tafsiri zao tu,ukisema nataka kutoa tigo nayo shida..na upo kwa wakalaUnashangaa avatar ya wenzio, vipi na wewe hilo jina lako? Huoni kuwa ni kero? inamankusweke ?
We jaamaa unatisha sana huwa naogopa hata kubishana na wewe
Hapo hata ukizoom in huwez kuona kitu 😂Jamaa kavaa taiti ya mapovu
Fala Sana huyo jamaaHapo hata ukizoom in huwez kuona kitu 😂
Nimelala tu apa situmii kilevi hauwezi kuamini alfajiri hii.Leo umelewa?
Bega kwa Bega yaan kwa pamoja au kwa mfuatano au kwa msawaziko au kwa msawazo au kwa msambambaHilo neno SakotuBako hivi lina maana gani slogan mbovu kabisa
Lugha ya wapi hiiBega kwa Bega yaan kwa pamoja au kwa mfuatano au kwa msawaziko au kwa msawazo au kwa msambamba
Wewe ni twin member kwa raraa reree na wewe huna shida na mtu. Very peaceful. Siyo mbishani pia. Yaani haukomai na hoja, mtu asipotaka kukubali unachosema, unampisha apite.Mimi nakera mkuu😁😁😁
Mkuu kumbe tu naonekana mapacha😁😁Lugha ya wapi hii
Leo umelewa unasema hii alfajiri wakati jioniNimelala tu apa situmii kilevi hauwezi kuamini alfajiri hii.
Mwana Sana Huyu Jamaa raraa reree huna baya na mtu.Mbona huwa ana comment na hata kuanzisha uzi.
Sema tu ni mtu asiyekuwa na chuki na yeyote yeye kila mtu kwake ni rafiki.
Kiswahili,Sako kwa bakoLugha ya wapi hii
Mtu wa Maana kabisaa raraa rereeHana shida ni mwamba tu hatoi comment hadi umkute kwenye nyuzi za mandinga au Euro 2024.
Aishi miaka 150,ufalme wa milele apate bikira atakaoMwana Sana Huyu Jamaa raraa reree huna baya na mtu.
Asante mkuu nyie ndio watu nawapenda mda wote kunywa soda nitakuja kulipa😊Wewe ni twin member kwa raraa reree na wewe huna shida na mtu. Very peaceful. Siyo mbishani pia. Yaani haukomai na hoja, mtu asipotaka kukubali unachosema, unampisha apite.
Siyo kama mimi hapa, sicheki na nyani