Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Unashangaa avatar ya wenzio, vipi na wewe hilo jina lako? Huoni kuwa ni kero? inamankusweke ?

We jaamaa unatisha sana huwa naogopa hata kubishana na wewe
Mfalme huihui aogopa!!!..usiogope huihui,tatizo siku hizi mwabadili maana ya maneno,ukisema huihui kanigonga,watu hawaulizi kakugonga na nini,pikipiki au,wanakua na tafsiri zao tu,ukisema nataka kutoa tigo nayo shida..na upo kwa wakala
 
Back
Top Bottom