Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Usiniongezee maneno
 

Attachments

  • Screenshot_20200419-105612_Opera.jpg
    59.1 KB · Views: 1
Hapo kwenye Sauti kidogo tunapishana diamond ana Sauti nzuri Sana ya uimbaji we angalia akiimba nyimbo za taratibu vocal yake inavyokuwa ila kwenye ngoma za kubang uwezi kuona ubora wa Sauti wa msanii mfano mzuri wimbo Kama babalao,kidogo,yope remix
 

Nahisi uzee unaniandama..

Yani sijaelewa kitu hapa..
 
Hahah nimesikitika sana mkuu,tena bado anauliza kwa kujiamini kabisa eti unajua mark X unajua inauzwa sh.Ngapi?,hahah.
Hawa ndio wanaosubiri ugali wa kengele wakiwa vijiweni huku wakipiga story kibao za kudanganyana muda ufike wakale ugali wa bure home.
 
Hapa mjadala umebadilishwa na rangi ya Ukejeli -Rangi ya Udharau - Rangi ya Uroho mbaya- na Rangi ya UShabiki Mavi......
 
Hajui hata bei ya cement au nondo sokoni huyo!! Yaani thamani ya Mark X ni sawa na mjengo Mkali πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€.
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangilia
 
Rich Alikurupuka Kutoka Bila Kujipanga, Harmo Alijipanga Alihakikisha Anapata Management Yenye Nafuu Kwake Na Ndo Maana Anasurvive, Bila Pesa Za Jembe Harmo Saivi Angekua Ntwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…