Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa town
Mar X unaifananisha na mjengo mkali hapa town??
Aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa town
Hapo kwenye Sauti kidogo tunapishana diamond ana Sauti nzuri Sana ya uimbaji we angalia akiimba nyimbo za taratibu vocal yake inavyokuwa ila kwenye ngoma za kubang uwezi kuona ubora wa Sauti wa msanii mfano mzuri wimbo Kama babalao,kidogo,yope remixKipaji ni kile kitu unacho sio kile kitu unachofunzwa ukawa nacho mfano kanumba , wema,ray,na badhii ya watu wzamani wakiigiza hapa utadhani ni kweli hicho nikipaji.
Mf.Wale wanamuziki wazamani wengi tu embu angalia zile za zamani bendi msondo ngoma wakina wengine yaani jide ukianza sauti zao,mipangilio ya muziki nikitu safi hiyo ndio kipaji.
Kuna Diamond , watu hanasema hana kipaji cha muziki ila anajua kujipangangilia mimi naona anajua management ni nzuri ila kitu kimoja tu hana basi sauti yake na konde ni zero. Hana sauti nzuri wenye sauti nzuri hapo na kipaji WCB ni rayvanny basi hata lava lava anayo sauti.
Mifano HAI humfanya mwanafunzi aelewe somo vizuri sanaSi mbaya yeye katumika kama funzo kwa wengine.
Kipaji ni kile kitu unacho sio kile kitu unachofunzwa ukawa nacho mfano kanumba , wema,ray,na badhii ya watu wzamani wakiigiza hapa utadhani ni kweli hicho nikipaji.
Mf.Wale wanamuziki wazamani wengi tu embu angalia zile za zamani bendi msondo ngoma wakina wengine yaani jide ukianza sauti zao,mipangilio ya muziki nikitu safi hiyo ndio kipaji.
Kuna Diamond , watu hanasema hana kipaji cha muziki ila anajua kujipangangilia mimi naona anajua management ni nzuri ila kitu kimoja tu hana basi sauti yake na konde ni zero. Hana sauti nzuri wenye sauti nzuri hapo na kipaji WCB ni rayvanny basi hata lava lava anayo sauti.
Unajua mark x inauzwa sh ngapi? Mpaka unaongea hivyo?Mar X unaifananisha na mjengo mkali hapa town??
Aise
Aisee nimethibitisha kweli wewe bado unaishi kwa wazazi,hujui chochote khs ujenzi/mijengo.Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa town
Umesema Hamonaizi ameamua kujenga ghorofa baada ya kuwa na nyumba mbili,swali kwani ghorofa sio nyumba? Kwani hakuna nyumba za kawaida(kama unavyoziita) zina thamani kubwa kuliko nyumba ya ghorofa?We utakuwa sio kijana umri umeenda kidogo nahisi kwasisi vijana tunaelewana.
Hajui hata bei ya cement au nondo sokoni huyo!! Yaani thamani ya Mark X ni sawa na mjengo Mkali 😀 😀 😀 😀 😀 😀.Aisee nimethibitisha kweli wewe bado unaishi kwa wazazi,hujui chochote khs ujenzi/mijengo.
Hahah nimesikitika sana mkuu,tena bado anauliza kwa kujiamini kabisa eti unajua mark X unajua inauzwa sh.Ngapi?,hahah.Hajui hata bei ya cement au nondo sokoni huyo!! Yaani thamani ya Mark X ni sawa na mjengo Mkali 😀 😀 😀 😀 😀 😀.
hatimaye umepona kifafa cha kupenda,hongera.Wajameni rich mavoko yuko wapi?
Simsomi siku nyingi.
Hawa ndio wanaosubiri ugali wa kengele wakiwa vijiweni huku wakipiga story kibao za kudanganyana muda ufike wakale ugali wa bure home.Hahah nimesikitika sana mkuu,tena bado anauliza kwa kujiamini kabisa eti unajua mark X unajua inauzwa sh.Ngapi?,hahah.
Hahah wanashinda kijiweni wakibishana Diamond ana utajiri kiasi gani na bla bla bla hahah..Hawa ndio wanaosubiri ugali wa kengele wakiwa vijiweni huku wakipiga story kibao za kudanganyana muda ufike wakale ugali wa bure home.
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangiliaHajui hata bei ya cement au nondo sokoni huyo!! Yaani thamani ya Mark X ni sawa na mjengo Mkali 😀 😀 😀 😀 😀 😀.
Ndio maana hata mahakamani wakati wa hukumu wanasemaga ili iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama yako.😂Mifano HAI humfanya mwanafunzi aelewe somo vizuri sana
😂😂😂😂😂😂Kama unaweza kumiliki mark x unashindwa vipi kuwa na mjengo mkali hapa town
😂😂😂😂😂😂
Mkuu sometimes huwa unazingua sana aisee. Imebidi nicheke tu.