Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

Usiniongezee maneno
 
Attachments

  • Screenshot_20200419-105612_Opera.jpg
    Screenshot_20200419-105612_Opera.jpg
    59.1 KB · Views: 1
Kipaji ni kile kitu unacho sio kile kitu unachofunzwa ukawa nacho mfano kanumba , wema,ray,na badhii ya watu wzamani wakiigiza hapa utadhani ni kweli hicho nikipaji.
Mf.Wale wanamuziki wazamani wengi tu embu angalia zile za zamani bendi msondo ngoma wakina wengine yaani jide ukianza sauti zao,mipangilio ya muziki nikitu safi hiyo ndio kipaji.
Kuna Diamond , watu hanasema hana kipaji cha muziki ila anajua kujipangangilia mimi naona anajua management ni nzuri ila kitu kimoja tu hana basi sauti yake na konde ni zero. Hana sauti nzuri wenye sauti nzuri hapo na kipaji WCB ni rayvanny basi hata lava lava anayo sauti.
Hapo kwenye Sauti kidogo tunapishana diamond ana Sauti nzuri Sana ya uimbaji we angalia akiimba nyimbo za taratibu vocal yake inavyokuwa ila kwenye ngoma za kubang uwezi kuona ubora wa Sauti wa msanii mfano mzuri wimbo Kama babalao,kidogo,yope remix
 
Kipaji ni kile kitu unacho sio kile kitu unachofunzwa ukawa nacho mfano kanumba , wema,ray,na badhii ya watu wzamani wakiigiza hapa utadhani ni kweli hicho nikipaji.
Mf.Wale wanamuziki wazamani wengi tu embu angalia zile za zamani bendi msondo ngoma wakina wengine yaani jide ukianza sauti zao,mipangilio ya muziki nikitu safi hiyo ndio kipaji.
Kuna Diamond , watu hanasema hana kipaji cha muziki ila anajua kujipangangilia mimi naona anajua management ni nzuri ila kitu kimoja tu hana basi sauti yake na konde ni zero. Hana sauti nzuri wenye sauti nzuri hapo na kipaji WCB ni rayvanny basi hata lava lava anayo sauti.

Nahisi uzee unaniandama..

Yani sijaelewa kitu hapa..
 
Hahah nimesikitika sana mkuu,tena bado anauliza kwa kujiamini kabisa eti unajua mark X unajua inauzwa sh.Ngapi?,hahah.
Hawa ndio wanaosubiri ugali wa kengele wakiwa vijiweni huku wakipiga story kibao za kudanganyana muda ufike wakale ugali wa bure home.
 
Hapa mjadala umebadilishwa na rangi ya Ukejeli -Rangi ya Udharau - Rangi ya Uroho mbaya- na Rangi ya UShabiki Mavi......
 
Hajui hata bei ya cement au nondo sokoni huyo!! Yaani thamani ya Mark X ni sawa na mjengo Mkali 😀 😀 😀 😀 😀 😀.
Main point point yangu Kama anauwezo wa kununua mark x pia anauwezo wakujenga nyumba nzuri badala ya kununua gari la Bei mbaya nunua hata vits alafu hela zingine amishia kwenye ujenzi wa nyumba.Mzee wangu Hana uwezo hata wa kuwa na mark x lakini anaishi kwenye nyumba nzuri maisha ni kupangilia
 
Rich Alikurupuka Kutoka Bila Kujipanga, Harmo Alijipanga Alihakikisha Anapata Management Yenye Nafuu Kwake Na Ndo Maana Anasurvive, Bila Pesa Za Jembe Harmo Saivi Angekua Ntwara
 
Back
Top Bottom