Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

miaka 20 tangu aombe uwanachana lakini nato wanaiyogopa urusi mbona poland na hangury walipewa uwanachama chap chap dogo putin ni next level waulize georgia
Hayo maneno yako...ya kwenye kahawa kwani alieandaa jeshi ili aivamie Ukraine Nani? Si mrusi mbona yupo kimya anaogopa Nini Russia ni paka Kama paka wengine wanaume wapo Ukraine wanamsubir Kama kidume aingie aone Kama hajavaa Dera....rais wa Ukraine ameshasema sio rahisi Kama anavyowaza Putin kuivamia nchi yake...anasema 50% Vita itapiganwa ndani kabisa ya Russia....watarusha makombora zaidi ya 3000 kwa wakati mmoja ndani ya Russia [emoji1787]
 
UKRAINE kama akijiunga na NATO halaf RUSSIA asimpe kichapo naachana na kutumia JF inyeshe mvua liwake jua UKRAINE haruhusiwi kujiunga na NATO itaibuka hata vita yatatu ya dunia ila UKRAINE hataruhusiwa kujiunga na NATO hata kwa sekunde
Hayo maneno ya kwenye kahawa Ukraine ni member mtarajiwa NATO....soon watu wanakaa uwani kwa Russia...
 
Wewe kaa chini ujifunze Vita ni malengo watu hawaendi vitani bila lengo....lengo la USA ni kumuua Osama na wamefanikiwa wanabaki Afghanistan kufanyaje??...acha kujizima data
 
Wewe kaa chini ujifunze Vita ni malengo watu hawaendi vitani bila lengo....lengo la USA ni kumuua Osama na wamefanikiwa wanabaki Afghanistan kufanyaje??...acha kujizima data
maneno yakwenye madera hayo[emoji2]
 
kwani lini urusi ilisema inataka kuivamia ukraine?
 
kwani lini urusi ilisema inataka kuivamia ukraine?
Baada ya kuona Uvamizi umebuma Sasa gia limebadilikia angani. Eti ni lini URUS ilisema inataka kuivamia Ukraine? Kweli?

Kama sio kutaka kuivamia Ukraine Basi lengo lilikuwa kuipiga kitisho Ukraine na mwisho kabisa ikapige magoti Moscow,lakini yote yameshindikana. Badala ya Ukraine kuogopa mrundikano wa Wanajeshi zaidi ya laki moja wa Urusi Mpakani na kwenda kupiga Magoti Moscro,Ukraine umejiimarisha kijeshi kwa kupokea Siraha mbali mbali za kujilinda dhidi ya uvamizi wa URUS. Hii ni Kinyume na matarajio ya Putin.

Hata Urusi inapima Kama inaweza Kuvamia au laa. Ndio maana imepeleka mpaka Magari ya Wagonjwa na Akiba ya Damu Nyingi Mpakani make anajua sio Kama Uvamizi wa CRIMEA Bali Wanajeshi wengi wa URUS watakufa na wengi wataambulia vilema vya maisha. Ndio maana gari za kuongeza damu nazo zipo kwenye msafara wa kijeshi.
 
Sharti la Russia siku ukraine akijiunga na NATO , ndo siku ukraine ita cease ku excist as a country,,

Lakini Russia yuko tayari ndani ya east ukraine na crimea
 
Sharti la Russia siku ukraine akijiunga na NATO , ndo siku ukraine ita cease ku excist as a country,,

Lakini Russia yuko tayari ndani ya east ukraine na crimea
Lile bomu alilosema akilipiga litaiangamiza Marekani muulize Putin anasubiri nini?
 
Ukraine anataka kujiunga NATO hata leo , wakubwa wa NATO wanakwepa maana wanajua Russia ataiingiza vikosi ndani ya kiev na kupindua utawala wa vibaraka wa marekani hapo kiev,,
Russia ana vikosi sasa kuweza kuingia mji mkuu kiev ndani ya masaa machache wakitokea mpaka wa Beralus..
 
Kiukweli kabisa Russia akiamua kuivamia Ukraine hatashindwa licha y uwepo wa NATO ( us) ndani ya Ukraine. Hili linanikumbusha mwaka 2008 Georgia alivimbishwa kichwa na US eti wataiweza urusi kwa msaada wa silaha, wataalam wa kivita wa kimarekani kuwepo mjini Gori. Ah Russia wakaamua kuichakaza Georgia , wamarekani wakakimbia mbio ziso kawaida. Wakalia kule UN Kwamba Georgia inaonewa. Baada ya siku 5 Georgia yote iliharibika kwa mabom ya su 25, na Su 24.
Nb. Wamarekani katika mbio zao walikimbia wakaacha Humvee 2 .
 
We ndo huelewi , Russia walianza ku mobilise troops baada ya marekani kuanza kuleta askari jeshi ukraine kama washauri wa kijeshi, lengo ikiwa ni kutest kina cha maji kabla NATO haijawakubali Ukraine iwe member wa NATO,
Russia wakatoa onyo kuwa haitakubali Ukraine iwe NATO maana inahatarisha usalama wa Russia
US wakasema ukraine ni nchi huru hivyo ina haki kujiunga NATO.
Russia wakasema haiwezekani siku ikijiunga NATO ndo siku ukraine itaacha kuwa nchi, kwa maana ya kuwa Russia wataingia ukraine.
Hii kidogo ifanane na ishu ya Taiwan na china,,, china imeshaweka wazi siku Taiwan, ikijitangazia uhuru na kujiunga na Umoja wa mataifa,, china wataingia Taiwan, ndo maana hadi leo, Taiwani haitambuliwi na umoja wa mataifa kama nchi,

Ili kuepusha vita,,, so as long as Putin yuko hai ukraine haitaungwa NATO
Siku ikiungwa tu [emoji23],anza kuchimba handaki la nuclear
 
Unahisi NATO wakimtema Russia , hawatopata energy drink ? [emoji3][emoji3][emoji3]
Watapata, maana US kishaongea na Qatar ili i supply gesi ulaya. Lakini itakua expensive,, maana hayo yataenda kwa meli na sio kwa pipeline,,, bei ya vitu itashoot na inaweza kupelekea revolution ulaya kote,
Pia Russia wanaweza kuzihujumu meli zinazopeleka gesi ulaya,,
Wazungu hawajazoea kupikia mkaa au kuni
 
Damusca haijabaki magofu, sehemu zenye magofu ni zile Russia walushambulia kuwaondoa isis,
US na washirika waneshindwa lengo lao kubwa la kuleta regime change syria na iraq maana lengo lao kuu ilikuwa ni kuzigawa syria na iraq ziwe vinchi vidogo ili kuzidhoofisha
 
Asad rais wa wapi hadi sasa?
 
Sasa mbona NATO wameshindwa na Taliban huko afaghnistan na vita haijafikisha hata miaka 50?,
Huko syria leo vita ina miaka 17, na wamarekani waneshindwa kumng'oa Assad,,
Siku Russia china venezuela cuba, wakiingia vitani na NATO,, ndo utawajua vizuri hawa makomredi,,
Hawa washazoea tough life,, wana endurance ya kupigana non stop hata miska 100,
Rejea vita ya yemen dhidi ya matajiri saudi arabia UAE israel US na UK,,,
Hapa houthis lazima waibuke kidedea, haijalishi vita itadumu miaka mingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…