Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

Subiri Ukrane itangaze rasmi kujiunga na NATO ndio utaona maamuzi ya Urusi...Urusi sio nchi ya propaganda na kubweka kama nchi za magharibi...

Urusi kaweka majeshi yake mpakani ndani ya Ardhi yake Marekani na vibaraka wake NATO wanalalama hatari...

Akishajiunga tu NATO huyo Ukraine ndio utajua km Russia analinda mpaka au anafanya mazoezi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Pia tuzingatie kuwa, endapo Ukraine itajiunga na NATO, itapelekea NATO kupata upenyo zaidi wa kuilinda Ukraine kwa kutumia Article 5 ya Mkataba wa Washington (North Atlantic Treaty).

Maana yake ni kwamba, uvamizi wowote wa kijeshi dhidi ya Ukraine, utahesabika kama uvamizi dhidi ya NATO (collective defence).

Katika mazingira kama hayo, lipi ni jambo rahisi na lenye nafuu zaidi kwa mvamizi?

1) Kuivamia Ukraine mapema kabla haijaingia NATO kisha kuweka utawala kibaraka?

Au,

2) Kuisubiri Ukraine ijiunge na NATO kisha kuipa NATO fursa ya kuitisha Article 5 ya Mkataba wa Washington?
 
Subiri Ukrane itangaze rasmi kujiunga na NATO ndio utaona maamuzi ya Urusi...Urusi sio nchi ya propaganda na kubweka kama nchi za magharibi...

Urusi kaweka majeshi yake mpakani ndani ya Ardhi yake Marekani na vibaraka wake NATO wanalalama hatari...
Mbona mnahamisha magoli,kwani Ukraine ilisema inajiunga lini NATO mpaka Russia amobilise majeshi mpakani?
 
Subiri Ukrane itangaze rasmi kujiunga na NATO ndio utaona maamuzi ya Urusi...Urusi sio nchi ya propaganda na kubweka kama nchi za magharibi...

Urusi kaweka majeshi yake mpakani ndani ya Ardhi yake Marekani na vibaraka wake NATO wanalalama hatari...
He unataka watangaze vipi kwa lugha ipi tena mkuu., NATO tayari wamo ndani ya Ukraine damu ya Ukraine saivi ipo ndani ya mishipa ya NATO na makerkani., Rais wa Ukraine Zelensky juzi alivyoita wanahabari alisema wazi wazi mchana kweupe kabisa kwamba wanahitaji Jeshi la NATO kujiimarisha ulinzi wao., mpaka hapa bado unafikiria nini tena.,

Mi nadhan Urusi ndio ana propaganda ya hali ya juu kwenye vita hii, alisema Ukraine ni washirika wao na hawatakubali kwa vyovyote sasa nini tena kimewapata? wamebaki mpakani, Majeshi ya NATO na dola ya Marekani wako ndani ya Ukraine wanasubiri nini tena?
 
Sio hao NATO?
Kwan aliyeweka jeshi mpakani mwa mwenzie ni nan? Sipo upande wa mabeberu ila Russia anazingua sana kweny Inshu za Ukraine , usalama hauwekwi vile ajifunz kwa wenzie akina Iran , USA , China na Israel , kupeleka jeshi kweny mpaka wa mwenzio huo ni ukorofi , yaan Ukraine aogope kujifanyia maamuzi ya kitaifa kisa usalama wa Russia , si ubinafsi huo ? kwan Ukraine haiko huru ? Kiufupi madai ya Russia ni ya kipuuz sana
 
Mbwembwe Tu, ENERGY, NISHATI Europe wanamtegemea Sana Mrusi,
Jamaa mrusi ana leverage kubwa!
Hakuna Vita! Kuna mieleka Tu ya kina John Cena na the Rock!
Mijitu mikubwa inapigana na huoni damu
Unahisi NATO wakimtema Russia , hawatopata energy drink ? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwan aliyeweka jeshi mpakani mwa mwenzie ni nan? Sipo upande wa mabeberu ila Russia anazingua sana kweny Inshu za Ukraine , usalama hauwekwi vile ajifunz kwa wenzie akina Iran , USA , China na Israel , kupeleka jeshi kweny mpaka wa mwenzio huo ni ukorofi , yaan Ukraine aogope kujifanyia maamuzi ya kitaifa kisa usalama wa Russia , si ubinafsi huo ? kwan Ukraine haiko huru ? Kiufupi madai ya Russia ni ya kipuuz sana
Inaonekana wewe ni mweupe kwenye masuala haya ya russia_ western relation.......

Rejea CUBAN MISSILE CRISS....
ndipo utapata majibu kuwa RUSSIA ana haki ya kujilinda dhidi ya NATO
 
Kwan aliyeweka jeshi mpakani mwa mwenzie ni nan? Sipo upande wa mabeberu ila Russia anazingua sana kweny Inshu za Ukraine , usalama hauwekwi vile ajifunz kwa wenzie akina Iran , USA , China na Israel , kupeleka jeshi kweny mpaka wa mwenzio huo ni ukorofi , yaan Ukraine aogope kujifanyia maamuzi ya kitaifa kisa usalama wa Russia , si ubinafsi huo ? kwan Ukraine haiko huru ? Kiufupi madai ya Russia ni ya kipuuz sana
kwan RUSSIA kueka majeshi mpakani mwanchi yake kosa kwasheria ipi?
 
ha ha ha mbona wanaogopa kuiingiza ukrein kwenye muungano wa nato?
Ni swala la muda tu takwa la Russia kwenye mazungumzo yao na USA ni katazo la Ukraine isijiunge NATO USA amekataa takwa Hilo na Russia ameambiwa wazi hivyo vitu haviwezekani Ukraine kuzuiwa kujiunga NATO.... Russia Hana jipya this time atajua kuwa hajui....hifadhi maneno yangu
 
Madai ya Russia yako wazi, kwamba ni marufuku Ukraine kujiunga na NATO, pia kuondoa military practices za USA na EU nchini Ukraine
 
Madai ya Russia yako wazi, kwamba ni marufuku Ukraine kujiunga na NATO, pia kuondoa military practices za USA na EU nchini Ukraine
Hivi naandika Jeshi la NATO ndio mishipa ya damu ya Ukrain unataka nini tena., Ukrain wamesema wanahitaji jeshi la Nato kuimarisha ulinzi wao kama nchi
 
Kama Mrusi aliweza kumzima Hitler hakika katika hii dunia hakuna wa kumtisha, kuhusu uchumi kuna watu huwa wanaishusha sana Urusi lakini wanajifanya kwamba hawajui kuwa Urusi Ipo vizuri katika supply ya product mbalimbali dunian na yupo kwenye rank za juu kabisa Lakini kubwa kuliko yote nikwamba KUHUSU VITA RUSSIA wapo vizur na wanafaham kuwa NATO iliundwa kwa ajili ya kupambana ba NATO hivyo matayrisho yake ni ya level ya kupambana na dunia.

Kuhusu mzigo wa silaha alizonazo PUTIN magharibi wanafahamu vyema kuwa pale kuna kisiki cha mpingo
 
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani??? sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo lao litatimia kwa nilivyofahamu mimi.

Lakini kuna maswali najiuliza hasa kwa Russia., Ivi baada ya Marekani na NATO kuwahi kuingia Ukraine ki-ulinzi na kuwa tayari kujibu mara Urusi ikivamia Ukraine Na hata jana Biden amesema watajibu thabiti kama Russia akijaribu kuvamia tu- Ivi Russia ndio imekuwa na hofu kubwa kukamilisha adhma yake?

Tuseme ni sahihi kusema Russia analiogopa Jeshi la NATO lakini na Marekani licha ya majivuno mbali mbali ya Putini? mara nyingi nikiangalia Televisheni CNN naona bado Russia wanailalamikia Marekani kutokuwa tayari kwa mazungumzo, Na Kremlin mara kadhaa namsikia akisema hawana nia ya kuvamia Ukraine ivi ni kwanini hasa kauli hizi? Kuna nini nyuma ya Pazia la Russia? Kama hawana nia ya kuvamia wao wanafanya nini mpakani mwa Ukraine? au Tuseme wanalinda mpaka wao tu.

Earlier Russia walisema ni vita vita vita tu lakini kwa nini wamebaki mpakani wansubiri nini?

Nafkiri wadau hemu tujikiteni hapa kidogo tupate dondoo zenu katika hili

Wananisubiri nikishaamka nikanywa chai ndio niwape ruhusa
 
Back
Top Bottom