FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Subiri Ukrane itangaze rasmi kujiunga na NATO ndio utaona maamuzi ya Urusi...Urusi sio nchi ya propaganda na kubweka kama nchi za magharibi...
Urusi kaweka majeshi yake mpakani ndani ya Ardhi yake Marekani na vibaraka wake NATO wanalalama hatari...
Pia tuzingatie kuwa, endapo Ukraine itajiunga na NATO, itapelekea NATO kupata upenyo zaidi wa kuilinda Ukraine kwa kutumia Article 5 ya Mkataba wa Washington (North Atlantic Treaty).Akishajiunga tu NATO huyo Ukraine ndio utajua km Russia analinda mpaka au anafanya mazoezi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Maana yake ni kwamba, uvamizi wowote wa kijeshi dhidi ya Ukraine, utahesabika kama uvamizi dhidi ya NATO (collective defence).
Katika mazingira kama hayo, lipi ni jambo rahisi na lenye nafuu zaidi kwa mvamizi?
1) Kuivamia Ukraine mapema kabla haijaingia NATO kisha kuweka utawala kibaraka?
Au,
2) Kuisubiri Ukraine ijiunge na NATO kisha kuipa NATO fursa ya kuitisha Article 5 ya Mkataba wa Washington?