Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.

Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana.

Ni kwasababu tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikionesha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.

Serikali ichukue hatua haraka.
 
Miili yao! uchi au nusu uchi? sidhani kama ni uchi....
 
tupia inbox
 
Kuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza πŸ˜…πŸ˜… alafu mchana kweupe

Dunia ishaisha aisee
Naam mkuu! Hebu fikiria kama wale mkuu. Ile ni laana. Na yule mjuba kavaa jezi ya Yanga anafanya yake majitu yanashabgilia
 
Kusasambua kulianza rasmi mwaka 1977 tarehe 5 February kwenye sherehe za kuzaliwa Chama Cha Mzee MAKONO.
 
nitumie pm nisaidie kuwafikishia wahusika
 
tip tip
 
Em nione ili nicomment vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…