Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya wakoloni kutuleta nguo tulikuwa olmost tunatembea uchi, hakuna cha ajabu hapoSerikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.
Ni kwasababu tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.
Serikali ichukue hatua haraka.
Wap uko..Ni kweli kabisa, kuna sehemu Kila siku kuanzia saa saba wanawake wanacheza uchi kabisa...
Kwani wanaoenda kwenye kumbi za starehe Wana umri gani?.. Tuanzie hapo mkuuSerikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.