fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Ushasema kumbi ya starehe alafu unamuuliza alienda kufanya nini tena!🤣🤣Wewe ulikwenda kufanya nini huko kwenye kumbi za starehe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushasema kumbi ya starehe alafu unamuuliza alienda kufanya nini tena!🤣🤣Wewe ulikwenda kufanya nini huko kwenye kumbi za starehe?
Utapata laanaNi wapi huko niende kuwakataza?
Leta video moderators wataamua waifute au la.Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mm Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.
Ni kwasabb tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.
Serikali ichukue hatua haraka.
Ebu nipe hiyo ya tigo na whiskey nione jamni mbona napitwa na mengiKuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga 😅😅😅
Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza 😅😅 alafu mchana kweupe
Dunia ishaisha aisee
Labda unisaidie- kwenye maeneo na kumbi za starehe ni faraghani ? Siyo hadharani?Serikali imeweka sheria kusambaza vdeo zisizo za maadili, na imeweka sheria watu kutokufanya vitendo visivyo vya kimaadili mfano ngono hadharani..
Ngono siyo mojawapo ya vitu vya kuangalia ktk maeneo ya starehe. Hilo ni tendo la kutoposha (siyo kupotosha) linalofanywa faraghaniNdo maana ya kumbi za starehe
😅😅😅😅😅Ebu nipe hiyo ya tigo na whiskey nione jamni mbona napitwa na mengi
Hivi unadhani Tanzania ni nchi iliyopo mbinguni au duniani.Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mm Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.
Ni kwasabb tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.
Serikali ichukue hatua haraka.
Hahahahah 😂😂😂Wasikataze kabla mi sijaona jamani
Kwanini unataka watu wazimie? Ndiyo maana tunataka serikali ichukue hatuatena bongo tupo nyuma sana kwenye starehe starehe hizi kuna nchi huko unaweza kuzimia kwa utayoyaona..