Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Labda unisaidie- kwenye maeneo na kumbi za starehe ni faraghani ? Siyo hadharani?
Nadhani ile ni faragha ya watu wazima. Unless useme bar. Ila kama ni kule ambapo 18 and below hawaruhusiwi kidogo inakuwa ngumu. Unless wafanye ngono.
 
YANAYOENDELEA MITANDAONI.

WANAYOTAFANYA DADA ZETU NI HATARI.

WANAOVULIWA UBINGWA NAO NO HATARI.

MCHENI MUNGU JAMANI.
 
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mm Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.

Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.

Ni kwasabb tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.

Serikali ichukue hatua haraka.
Asili ya waafrika ni kufunika katikati, nyuma, na matiti kidogo tu
 
Kwan tunapozungumzia woman empowering unaelewa nini au haki sawa kwa wote ?? 50/50 yaan jamii zetu tupo kama panya tunang'ata na kupuliza ..... at the same time wanwake wanajifanya ma super woman kuvaa wakiwa utupu katika music videos af wanataka heshima ...... that is bulshit that is why ile dhana ya mwanamke is a sex object haiwezi ondoka kama mnataka heshima nanyi jiheshimuni ......... simple logic
 
Madhara ya kuwafanya watu masikini kwa kuwanyima fursa, kuwanyima elimu nk ili uwatawale, matokeo yake jamii inakosa controlling inabaki kuwa na stress na kufanya mambo ya hovyo....

Miaka mingi ijayo, Jamii ya watanzania itakuwa jamii inayodharauliwa sana duniani kwa kuzalisha wadangaji, makahaba, wezi, mashoga wengi sana... Tumuombe sana Mwenyezi Mungu aingilie kati na kuepushia mbali sana hili katika jamii yetu..

Wakulaumiwa ni CCM na wanasiasa wanaowaza kutawala na maslahi binafsi na famili zao wakiamini wao ndio wenye haki ya kila kitu katika Taifa hili na Kila mtanzania lazima awasikilize na kuwasujudia wao..

Kila Mtanzania mwenye miaka 18 alipo apambanie kizazi chake kwa kuwakemea na kupambana na hawa wanasiasa wanaojijali na sio kujali jamii wanayoiongoza na kuachia mambo mengi out of control wakiamini katika urahisi wa kutawala.
 
Back
Top Bottom