Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Leta vielelezoSerikali kama haijaliona tatizo hili basi mm Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.
Ni kwasabb tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.
Serikali ichukue hatua haraka.