Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Madhara ya kuwafanya watu masikini kwa kuwanyima fursa, kuwanyima elimu nk ili uwatawale, matokeo yake jamii inakosa controlling inabaki kuwa na stress na kufanya mambo ya hovyo....

Miaka mingi ijayo, Jamii ya watanzania itakuwa jamii inayodharauliwa sana duniani kwa kuzalisha wadangaji, makahaba, wezi, mashoga wengi sana... Tumuombe sana Mwenyezi Mungu aingilie kati na kuepushia mbali sana hili katika jamii yetu..

Wakulaumiwa ni CCM na wanasiasa wanaowaza kutawala na maslahi binafsi na famili zao wakiamini wao ndio wenye haki ya kila kitu katika Taifa hili na Kila mtanzania lazima awasikilize na kuwasujudia wao..

Kila Mtanzania mwenye miaka 18 alipo apambanie kizazi chake kwa kuwakemea na kupambana na hawa wanasiasa wanaojijali na sio kujali jamii wanayoiongoza na kuachia mambo mengi out of control wakiamini katika urahisi wa kutawala.
Wengi wanaomfanya hivyo ni Chadema, halafu unailaumu CCM
 
Hhh
 
Attachments

  • IMG_20221118_153048.jpg
    IMG_20221118_153048.jpg
    138 KB · Views: 9
  • IMG_20221118_153048.jpg
    IMG_20221118_153048.jpg
    138 KB · Views: 9
Wengi wanaomfanya hivyo ni Chadema, halafu unailaumu CCM

Naona unaleta mzaha kwenye mambo serious ambayo madhara yake yanaweza hata kutafuta ndugu zako na vizazi vyako..

Kwa pamoja tuache hii dhana ya kuitetea CCM na CDM bali tupambanie uhalisia wa mambo kwa maslahi yetu wote na vizazi vyetu + Taifa letu kwa ujumla..

Huu ujinga upo kwenye jamii sio kwenye mikutano ya siasa kama unavyojaribu kutaka kuaminisha hapa, tuitetee jamii yetu na kuweka huu ushabiki wa kijinga pembeni.

JAMII INATEKETEA...
 
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mm Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.

Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.

Ni kwasabb tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.

Serikali ichukue hatua haraka.
We ulienda kutafuta nini huko? Mbona baa za kistaarabu ni nyingi tu?
 
Hiyo ndio maana halisi ya starehe ilikuwa ni swala la muda tu, kuna makubwa zaid ya hilo yatafanyika.

Ukitembea nchi za wenzetu ndio utajua starehe zinafanywa vp.
 
Hiyo ndio maana halisi ya starehe ilikuwa ni swala la muda tu, kuna makubwa zaid ya hilo yatafanyika.

Ukitembea nchi za wenzetu ndio utajua starehe zinafanywa vp.
Ngono siyo sehemu ya starehe. Tusipotoshane mkuu
 
Dunia haiwezi kwisha ipo na itaendelea kuwepo
Hao binaadamu wacheza uchi ni mojawapo wanaokamilisha neno ulimwengu bila wao Dunia haijamamilika
Shetani na Majini wapo sembusse vicheza uchi
Tafuta pesa uwende kanisa au mskitini ukainjoy weekend, zako
 
Si mlishakubalian kwamba imani iko moyoni hata mtu avae nusu utupu🤔..

Kwamba wanajistiri ndo wanafanya maovu zaidi au sio nyie?
 
Fuatilia Dubai huko uone waarabu wanavyo mwaga noti kwa wanawake kwa ajili ya kupata starehe hizo.
Nadhani tukubaliane kuwa siyo kila kinachofanywa na nchi nyingine kinafaa kufanyika ktk taifa letu.

Ndiyo maana wenzetu wameruhusu ndoa za jinsia moja sisi hatutaki
 
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mm Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.

Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.

Ni kwasabb tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.

Serikali ichukue hatua haraka.
Sasa serikali si imezuia mitandao ya ngono, kwa hiyo watu inabidi wakatafute za kuangalia mubashara.

Ila kwa kuwa umesema ni kwenye kumbi sioni tatizo. Ukumbi wa aina hiyo ni eneo la faragha ambapo wanaoingia ni watu wazima na wanaopenda hayo mambo. Kuingia kwenye ukumbi kama huo sio lazima. Unaingia kwa kulipia. Sasa unalalamika nini? Kumbi ambazo haina hayo mambo huzijui?
 
Back
Top Bottom