chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wengi wanaomfanya hivyo ni Chadema, halafu unailaumu CCMMadhara ya kuwafanya watu masikini kwa kuwanyima fursa, kuwanyima elimu nk ili uwatawale, matokeo yake jamii inakosa controlling inabaki kuwa na stress na kufanya mambo ya hovyo....
Miaka mingi ijayo, Jamii ya watanzania itakuwa jamii inayodharauliwa sana duniani kwa kuzalisha wadangaji, makahaba, wezi, mashoga wengi sana... Tumuombe sana Mwenyezi Mungu aingilie kati na kuepushia mbali sana hili katika jamii yetu..
Wakulaumiwa ni CCM na wanasiasa wanaowaza kutawala na maslahi binafsi na famili zao wakiamini wao ndio wenye haki ya kila kitu katika Taifa hili na Kila mtanzania lazima awasikilize na kuwasujudia wao..
Kila Mtanzania mwenye miaka 18 alipo apambanie kizazi chake kwa kuwakemea na kupambana na hawa wanasiasa wanaojijali na sio kujali jamii wanayoiongoza na kuachia mambo mengi out of control wakiamini katika urahisi wa kutawala.